Ulinikera sana wewe.Na usiniite nyang'au.Ww nyang'au tu si ungepita kimya tu mxiiiiieewww
Acha kuniquote ushaona mi nakuquote? Kuwa mwanaume kweli sio mwanaume km bintiUlinikera sana wewe.Na usiniite nyang'au.
Nadhani aliyekuacha ndiye binti.Ntakuquote nipendavyo u dont have the power to stop me.Acha kuniquote ushaona mi nakuquote? Kuwa mwanaume kweli sio mwanaume km binti
Hahahahaahha jamn brother is that ur comment??siaminJina lenyewe unajiita wa kuchovya chovya unategemea nini sasa


[HASHTAG]#AkiliZaUsiku[/HASHTAG]Hahahahaahha jamn brother is that ur comment??siamin![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Na kweeeeeeli[HASHTAG]#AkiliZaUsiku[/HASHTAG]![]()
![]()
![]()
Na kweeeeeeli
I can see
ValangatiJina lenyewe unajiita wa kuchovya chovya unategemea nini sasa




Balaa mkuu...wa kuchovya huyo tuValangati![]()
Duuuuuh1. Wanaume wako magerezani wamefungwa vifungo virefu, wengine wamehukumi wakutolewa uhai,
2. Wanaume wengine ni mashoga hawa si waoaji.
3. Wanaume wengine ni mateja hawa hawana muelekeo wa kuoa pita ubungo usiku utashuhudia wamelala kwenye maboxi
4. Wapo wanaume wanywaji gongo hawa wanakufa haraka na kuzidi kuimaliza idadi ya. , 5.Wapo majambazi wanaouawa na polisi daily kwa ile 'ririkuwa linashindana na polisi
tuka4ishinda '
6. Wapo sasa wanaokufa kwa STRESS za maisha na za wanawake hawa ni wale ambao wanajiona vidume vya kuhudumia wanawake wa wenzao . Hawa wanaume hawafi kwa stress peke yake lakini pia wanakufa kwa kutumika vya kutosha kingono kwa kukimbia kilometa za kutosha kifuani mwa mwanamke wakifikiri wanawakomoa hao wanawake.
Sasa kujibu swali lako ni kweli wanaume wameisha na walipoenda ndipo hapo nilipopaelezea. Kilichobaki binti pambana na hali yako

Nadhani aliyekuacha ndiye binti.Ntakuquote nipendavyo u dont have the power to stop me.

Hebu nitafute tumalizeWajameni hv kweeeeeeeli kabisa waume hakuna au ndo wenzetu( wanaume kama mabinti) mnatuzibia rizki naona waoaji kibaaaaooo kila kukichaaa ila waume wa kudumu hakuna khaaaaa maana sio kwa mkosi huu KIRUUUUUUU
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()