Wauguzi wakunga tukutane hapa

Wauguzi wakunga tukutane hapa

Digo zee

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
661
Reaction score
1,348
Habari za jioni wana jamvi, ni matumaini yangu Hamjambo. Wale wenye matatizo mbalimbali nawaombea kwa Mwenyezimungu awaponye maradhi yao...

nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kuwakutanisha wauguzi wakunga ambao tunatumia JAMII FORUM

KARIBUNI SANA TUBADILISHANE MAWAZO. UUGUZI NI WITO

NURSES ARE THE HEART OF HOSPITALS
 
Karibuni sana, ni matumaini yangu tutafahamiana Na kushauriana mambo mengi hasa yale yanayo husiana Na taaluma yetu
 
PONGEZI ZA PEKEE KABISA ZIWAFIKIE WAUGUZI /WAKUNGA WENZANGU KWA MIOYO YAO YA KIPEKEE KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI ILI KUWASAIDIA WAGONJWA

UUGUZI NI WITO

Dr Norashikin: Mosotho Makhoba(his comment on daily sun online:-

It's very hard to be a nurse nowadays.
If nurses did not do their work many children would have died from communicable diseases, if nurses did not care, there would be no hospitals. Consider how we are perceived:- If a patient goes missing, the nurse is blamed, the pharmacy does not dispense medicines, the nurse is blamed, the kitchen fails to supply meals on time, the nurse is blamed, if the laundry fails to deliver linen, the nurse is blamed, if the hospital is dirty, the nurse is blamed.
1 nurse cares for 10 pts but is expected to deliver quality nursing care. Everybody has rights except nurses. It is acceptable for every person to have mood swings but not a nurse. INDEED! not all nurses are angels, NEITHER are they ALL devils,
They work under horrible and unbearable conditions & they are stressed out because of resource shortages (both human and material). Nursing is said to be a calling, but they also have families to feed, clothe, educate give shelter to etc. Nurses are being accused of being driven by money but do u know who works as hard and under such unbeatable and abnormal hours for charity? Nurses leave their children unattended at night to go on duty to serve the community that hates them, They work over weekends, during public holidays because the very people that hates them want to enjoy the holidays, so they dump their frail relatives at hospitals under the care of 'THESE CRUEL' nurses,
I'm proud to be a nurse?
Are you????

PLS SEND this to ALL the nurses you know, I've just done my bit.
 
Effects za hypotension kwa pregnt woman ni zipi ... Njooni tu fanye management huku Aisee
 
Naombeni nijue kama kweli mtoto atatoka na uchafu mweupe ikiwa mlikua mkikutana kimwili wakati wa ujauzito.
 
Naombeni nijue kama kweli mtoto atatoka na uchafu mweupe ikiwa mlikua mkikutana kimwili wakati wa ujauzito.
Asante sana ndugu...

Hilo suala halina Ukweli wowote ila ni Mambo tu ya kiimani.... Hutokea Mtoto kuzaliwa akiwa na vitu vyeupe kwenye ngozi yake ambavyo kitaalamu vinaitwa VERNIX CASEOSA....

yale ni kama mafuta tu ambayo husaidia katika kuilinda ngozi ya Mtoto lakini Sio madhara ya kufanya mapenzi wakati WA ujauzito
 
Ahsante mkuu.
 
Ma laboratory Technologist tunaruhusiwa pia?
 
Ma laboratory Technologist tunaruhusiwa pia?
Karibuni sana ndugu yangu, HEALTH WORKERS tunafanya kazi Kama Team hivyo Kuna mambo yatakuhitajia utoe utufahamishe kulingana Na kitengo chako ndugu
 
Habarini wanandugu?
Nimemaliza chuo mwaka huu natafuta sehem ya kujishikiza huku nikisubiria matokeo ya mtihan wa lesen
Pia nilikuwa naulizia kwa wenye experience kuwa lesen za huwa zinachukua muda gani kutoka manake mm nimeandika mtihan mwez wa 9
 
Mkuu mjamzito kuvimba miguu ni kawaida?

Back
Top Bottom