Wauaji wataomba msamaha kwa Mungu na atawasamehe?

Wauaji wataomba msamaha kwa Mungu na atawasamehe?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,457
Reaction score
65,765
Wauaji wataenda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu atawasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nitazing'arisha kama ziwe nyeupe kama sufii

Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awaadhibu wale waliofanya mauaji ndani ya familia yao

Hapo inakuwaje sasa
Kiranga Malaria 2
 
Wauaji wata enda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu ata wasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nita zingarisha kama ziwe nyeupe kama sufii

Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awa adhibu wale walio fanya mauaji ndani ya familia yao

Hapo ina kuwaje sasa
Kiranga Malaria 2
Thibitisha Mungu yupo.
 
Hiyo dhambi haisamehewi bro
 
Kwani Roho mtakatifu ni nani?

Na roho wengine kama Baba na mwana wao wanasemaje kuhusu Hilo?
Roho ni nafsi ya tatu kutoka kwa Mungu yaani Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu maana naye roho ametoka kwa baba
 
ye
MUNGU husamehe Kwa anaye mtaka, na sio Kwa Kila anayeomba msamaha.

Unauhakika Gani hao wauwaji wataomba msamaha mbele za MUNGU?? Hao ni psychopaths, mioyo yao imeshakufa ingali wapo hai.
yesu alishakufa kwaajili ya zambi zetu
 
Yani Mungu sidhani kama yupo?

Huyu Johari afanyiwe kitu analopoka sana.
 
Back
Top Bottom