Watz tusikimbilie kusema mawaziri ni mzigo,hao ni zao la mzigo.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Tusikimbilie kutaja mawaziri mizigo,hata huyu wa magogoni nae ni mzigo kwani mawaziri mzigo wameteliwa na yeye. Pia,hili ni tatizo la kimfumo top hadi chini wote mizigo tu hakuna mzuri.Wote wala rushwa,mafisadi nk.Kama mkuu mwenyewe yuko kwenye list of shames! Mzigo unaanzia kwake
 
Back
Top Bottom