WaTZ Tupo hapa kupunguza propaganda za kenya

Status
Not open for further replies.

Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
6,000
4,586
Ina stajabisha kuona wakenya leo wanalia lia eti watanzania wamejaa kwenye uwanja wao. Tumekuja hapa kutokana na kenjeli, dharau, na uwongo ambao wakenya mlikuwa mnausambaza duniani kupitia uwanja huu wa JF. Na sio hapa tu, hata kwenye majukwa mengine ya mitandaoni, wakenya wamekuwa wakipotosha ulimwengu kuhusu Tanzania. Mkitaka haya yaishe, na nyinyi mjirekebishe, mjue kama Tanzania ni nchi na inahitaji kuheshimiwa. Watanzania wazalendo hawatasita kuitetea nchi yao mpaka jasho la mwisho.
 
Ahahahha.... Msilie basi wanajiwe.... Tunawapenda sana.Haters will see you walking on water and they will say it's because you can't swim. Tihihi
 
siku mukitoka ldc na muache kutumia asilimia moja ya akili zenu,,, tutawaheshimu
Mbona Kenya nayo ni LDC kama wengine. Bado mnapokea misaada, bado hamuwezi kujilisha, watu masikini bado ni wengi. Vurugu kila mahali, sio kwenye siasa, sio kwenye jamii wala sio kwenye matatu za Rongai.
 
Acha uwongo wewe.... Najua hadithi za vijiweni ziko kwenye DNA.. Danganyika is the poorest nation in the world comparable only to Haiti.
 
Ina stajabisha kuona wakenya leo
wanalia lia eti watanzania wamejaa kwenye uwanja wao. Tumekuja hapa kutokana na kenjeli, dharau, na uwongo ambao wakenya mlikuwa mnausambaza duniani kupitia uwanja huu wa JF. Na sio hapa tu, hata kwenye majukwa mengine ya mitandaoni, wakenya wamekuwa wakipotosha ulimwengu kuhusu Tanzania. Mkitaka haya yaishe, na nyinyi mjirekebishe, mjue kama Tanzania ni nchi na inahitaji kuheshimiwa. Watanzania wazalendo hawatasita kuitetea nchi yao mpaka jasho la mwisho.
No Ivo hatuwez vumilia😃
 
Acha uwongo wewe.... Najua hadithi za vijiweni ziko kwenye DNA.. Danganyika is the poorest nation in the world comparable only to Haiti.

Haha, Hii nyimbo ya poor nation haina umaarufu tena. Dunia inajua tunajenga kila kona ya nchi usiku na mchana kwa nguvu na fedha zetu wenyewe.
 
Haha, Hii nyimbo ya poor nation haina umaarufu tena. Dunia inajua tunajenga kila kona ya nchi usiku na mchana kwa nguvu na fedha zetu wenyewe.

Ndio imeshika vizuri sasa. That's why umekuja kulialia hapa eti ooh Propaganda ya Kenya. It's not a propaganda. It's a reality. Wake up from your dreams Danganyikans. Shida sasa it will take eons juu mko na umasikini wa Akili pia. Poleni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom