Waturuki wanataka Katiba kama yetu, wanataka strongman!

Waturuki wanataka Katiba kama yetu, wanataka strongman!

Acha upotoshaji hapa..
Kuna a lot of resistance hivi sasa Uturuki kutokana na hiyo Katiba yao.
Wala mambo hayapo sawa.
 
Sikubaliani na Erdogan:
1.kuleta machafuko Syria (kwa kuunga mkono uondoshwaji wa Al Asaad bila ridhaa ya wasyria
2.Kuwanyaya wakurdi
 
hapa sema erdogan ndiye anayetaka madaraka makubwa,naye ni binadamu kama hawa wengine tunao waoana.
 
Edogan is a dictator nadhani ndiyo maana hajajiunga na EU??? kama amjiunga amerekebisha kidogo
Waingereza walijiunga na EU na wakaamua kutoka,unaishangaa Uturuki kutojiunga..!!
 
Wananchi hawajui walivhokipigia kura na hawajaelimishwa vya kutosha hasa athari zake. Siku wakipata Rais mwendawazimu au hata huyu walienae akatumia mwanya wa mabadiliko haya watalia na kusaga meno.

Moja ya vipengele vibovu ni:
"He or she will be given sweeping new powers to appoint ministers, prepare the budget, choose the majority of senior judges and enact certain laws by decree."

"Parliament will lose its right to scrutinise ministers or propose an enquiry. However, it will be able to begin impeachment proceedings or investigate the president with a majority vote by MPs. Putting the president on trial would require a two-thirds majority."
Tokea 2000 erdogan hana mpinzani uturuki kila chaguzi anapita kwa 70% au 65%+

Hata Yale mapinduzi kutaka kufanyika mamillioni ya watu waliingia barabarani kumpigania

Nadhani erdogan anataka kusafisha sehemu nyingi na haswa jeshi

Hivyo katiba hii mpya itampa power hiyo na wananchi wapo nyuma yake
 
Waingereza walijiunga na EU na wakaamua kutoka,unaishangaa Uturuki kutojiunga..!!
Yes huyu anataka, huyu hataki, that is the difference! You get the difference?
 
Ukiona raisi yuko bize kudai apewe madaraka zaidi kisa tu kanusulika kupinduliwa ujue baadae ataanza kuwashughulikia wapinzani wake na baadae watu wa chama chake na udikteta unaanzia hapo hilo taifa ipo siku litakuja kumbwa na mitafaruku mikubwa kutokana na maamuzi ya kura ya jana maana ni karibu nusu kwa nusu yaani 51% kwa 49%.
 
Kwa hali hiyo asahau kukubaliwa EU pamoja na juhudi zake zote kufanya kampeni kuitumia marekani bado ulaya hawamwoni kama yuko sawa kwani anakandamiza vyombo vya habari magazeti yote ya serikali kifupi hakuna Uhuru wa vyombo vya habari.
 
Ukiona dikteta kashinda uchaguzi kwa asilimia chache sana, ujue kuna uwezekano mkubwa sana hapo kashindwa ila kapiga tikitaka tu.
 
Erdogan ameirudisha uturuki miaka30 nyuma ndoto ya kujiunga EU imekufa rasmi kwa style yake ya kiongozi ya ki Africa badala ya kizungu anyway Turkey iko kwenye unstable region hii nitaleta balaa zaidi
 
Back
Top Bottom