Kundi la vijana wa kituruki wanaojiita Terrorist crew walifanikiwa kuiteka website ya microsoft kwa masaa kadhaa na kuwaachia wadau wa Microsoft salamu za idi mubarak.
Kundi hilo linalojulikana kama Terrorist crew liliiteka kwa masaa kadhaa website ya Microsoft maalumu kwa nchi ya Ireland na kuwaachia wadau wa website hiyo salamu za idi Mubarak.
Mwaka 2006 kundi jingine la waturuki liliiteka website ya Microsoft ya Ufaransa na kuwaachia wadau wa Microsoft ujumbe huu:
"Hi Master Your System 0wned By Turkish Hackers! redLine ownz y0u! Special Thanx And Gretz RudeBoy |SacRedSeer| The_Bekir And All Turkish HacKers next target: microsoft.com date: 18/06/2006 @ 19:06 WE WERE HERE...."
Kundi la vijana wa kituruki limekuwa likishindana na kundi la vijana wengine wa Urusi katika kuziteka tovuti mbali mbali duniani.
Mwaka 2005 kundi hilo lilifanikiwa kuziteka computer za vyombo vikubwa vya habari vya marekani kama vile CNN, New York Times, ABD News na vinginevyo na kufanikiwa kutuma virusi kibao ambavyo vilivuruga mitambo yao.
Habari kamili NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.