Watupie neno hao waheshimiwa!

Watupie neno hao waheshimiwa!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,094
1625735_10202904534430852_1960831311_n.jpg
 
wana busara kuliko bunge letu la katiba
 
Wanajaribu kurekebisha katiba yao yenye mushkeli kama ya kwetu
 
kamati kuu ccm wakipanga kuchakachua rasimu ya warioba teh!
 
better bunge hili yaelekea lina utulivu na halina matusi ya hovyohovyo
 
hawa yaelekea hawaitaji makaratasi,docs wala ansad,vichwa vyao vina 32GB za kuhifadhi kumbukumbu!
 
Back
Top Bottom