Watupie neno hao waheshimiwa!

Watupie neno hao waheshimiwa!

hata huyo hapo wa cdm hapo naona anasisitiza kura ya wazi
 
kuna mheshimiwa pale kati anacheka kwa nguvu zote.huyo atakuwa nani wakuu.?
Na kuna mwingne kashika Banana na anaonekana yupo makini kweli kweli,sasa sijajua umakini wake unachangia na njaa au nn,pia atakuwa mheshimiwa nani.?nifahamisheni wakuu.
 
Hahahahaaa mbona kama ukichanganua herufi hizi sawasawa utapata jina la huyo mheshimiwa anayetafakari?
SRIWASA
 
yuko mmoja huku kulia anasema gb zake kichwani zina~vibrate anataka kuondoka wiki ijayo! dah! sijui nini kitafuata
 
Mbona hizi sura sio ngeni kabisa naona hadi mh 6 + p na nda na wengineo halafu siti zao zimewambwa kwa uzalendo wa majani
 
Back
Top Bottom