comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Hii vita ya pamoja na jeshi ni moja adui ni wengi sasa ninapendekeza kuwepo na vipimo vya kitabibu kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu kwa watajwa hapo juu , ili kuzuia matumizi ya madawa hayo hatari sana, Vilevile kuendelea kuboresha na kulinda utendaji wa kisheria na nidhamu katika kutekeleza majukumu ya kila siku, madawa ya kulevya yapo ya aina nyingi kuanzia Mirungi, Bangi, Heroine, Cocaine, Mandrax na vile vichochezi vya kuchochea matengenezo yake. Wanaoniunga mkono waseme ndioo na watoe sababu za kuniunga mkono na Wasioniunga mkono Waseme sioooo vilevile watoe sababu za kupinga,
Ahsanteni hayo ni mawazo yangu binafsi katika vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Ahsanteni hayo ni mawazo yangu binafsi katika vita dhidi ya madawa ya kulevya.