Watumishi wa umma: Je, ni kweli mmeongezewa mishahara?

Nipo kweye usafiri wa umma abiria mwenzangu kapokea simu katika mazungumzo anamwambia mwenzia kuwa Mh. Rais kawakumbuka kaongeza mshahara mwezi huu wa kwanza.

Yaani mshahara umetoka leo tarehe 23/01/2020 ukiwa na ongezeko

Je ni kweli? Kama kweli kawaongeza asilimia ngapi?
Ndiyo ni kweli kuna ongezeko
 
Ndiyo nilichosema au kuuliza. Toka lini budget ikawa na maana nchi hii?
Mkuu mmoja wa vijana wangu anauliza kwani

1. Line wamefunga hivi lilipita bungeni
2. Annual increment ambayo IPO kisheria IPO?
3. Wanafunzi wanakaa chini kabisa hata wa shule za upili HV Ndugai haoni na kumwajibisha yule mama wa misifa?

Nimemjibu tu KIJANA YOTE MAAGIZO TOKA NGAZI ZA JUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii nchi inabajeti? Nilishangaa alipokuwa anamwambia kangi lugola leo kuwa ametumia trillion 1 ambayo haijapitishwa na bunge ikabidi nicheketu.yeye ametumia billions of taxpayers money kuanzisha miradi ambayo hata bunge halifahamu ndio ujuwe mkulu anapuliza.
Zungu anafahamu.. Hakuna uzinduzi ambao amekosekana...
 
Back
Top Bottom