Watumishi wa umma: Je, ni kweli mmeongezewa mishahara?

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,450
9,372
Nipo kweye usafiri wa umma abiria mwenzangu kapokea simu katika mazungumzo anamwambia mwenzia kuwa Mh. Rais kawakumbuka kaongeza mshahara mwezi huu wa kwanza.

Yaani mshahara umetoka leo tarehe 23/01/2020 ukiwa na ongezeko

Je ni kweli? Kama kweli kawaongeza asilimia ngapi?
 
Kufanya kazi na huyu bwana wa ni kazi kweli kweli!,ila unauliza kisanii sana kama mshahara umetoka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom