Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Ukipita pita kwenye baadhi ya ofisi za umma utakuta watumishi wanajadili siasa tu.
Mara utasikia kuelekea 2020 mchuano utakuwa mkali sana hasa ndani ya chama chetu pendwa cha ccm. watumishi hao wakereketwa wa kisiasa wanachambua mambo vizuri sana ,wanajiita kwa jina la (analysts).
Wanasema kwamba yawezekana ile kamati ya wazee maarufu ya kumtafuta mgombea wa urais 2020 itapata wakati mgumu sana kipindi hicho kwani watajitokeza watia nia wengi sana ambao watachukua form ya kugombea kiti cha urais kupitia ccm ambapo kazi ya kuchuja majina itafanywa na hao wazee wa kazi maalumu.
Wakati mgumu unakuja pale mh Rais ikitokea jina lake kukatwa na kutupiliwa mbali kama ilivyokuwa kwa manywele hali itakuaje? Hili ndilo swali watumishi hao walikuwa wakijiuliza.
Wengine wakawa wanasema yawezekana kitaanzishwa chama kingine cha ruling party. Swali lingine walikuwa wakijiuliza je ibawezekana kuanzisha chama kingine kwenye kipindi hicho?
Pamoja na mjadala huo majority ya watumishi walisikika wakisema wanaomba mheshimiwa magufuli aendelee kuongoza nchi mpaka 2025 kwani hadi sasa hivi ameshashinda kutokana na kazi nzuri alizofanya ndani ya muda mfupi sanaaa.
Ukiangalia ameboresha mishahara ya watumishi kwa kuwapandisha madaraja baadhi yao.
Ajira kede kede zimetolewa ,watumishi hewa waliokuwa wakijaza nafasi za wengine wametimuliwa.
Uchumi wa nchi umeendelea kuimarika na hata mfumuko wa bei uko meintened vizuri tu.
Kwa hiyo wanaomba uchaguzi usifanyike ili gharama za uchaguzi zielekezwe kuwalipa watumishi wa umma madeni yao na kutumika kuwapandisha madaraja waliokuwa wanastahili kupanda kwa kuwa inaonekana hakuna mtu yeyote atakayelinganishwa na magufuli ktk utendaji mzuri wa kazi.
Magufuli baba piga kazi ,piga kazi, watumishi wa umma wako pamoja na wewe.