Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,011
- 1,794
Majambaz,vyangudoa ,vibaka wote wanatekeleza hapa kaz tu kwa nadharia na vitendo pia
Majambaz,vyangudoa ,vibaka wote wanatekeleza hapa kaz tu kwa nadharia na vitendo pia
sio kweli...hiyo ni slogan ya serikali ya awamu ya tano...acha waitumie watakavyo
Mkuu Roboti la Matope hapo umechemka,Laiti ungejua,Walivyo happy,usingethubutu kuongea huo utumbo.
Acha uongo mbona ofisini kwetu shangwe tu hao watumishi labda siyo hawa wa tanzania.