Wala mimi sintokaa nitange tange ila hawa wanaoanzishwa hizi huduma huduma mara sijui ministry wanashangaza sana.acha kutangatanga Mwamini Mungu peke yake shika amri zake fata maagizo yake enenda katika njia zake wachana na ministry za wafia tumbo
MWAKASEGE ,RADIO SAFINA NA WENGINEO NI HAO HAO KWANGU MIMI NAMUAMINI MUNGU KUNA AMRI ZAKE PALE NA MAAGIZO YAKE BASI NIMEMALIZAWala mimi sintokaa nitange tange ila hawa wanaoanzishwa hizi huduma huduma mara sijui ministry wanashangaza sana.
Wanatafuta kiila mbinu ya kuwakamata watu na kuwafanya wawaamini.
Kama hawa Safina Redio sasa.
Daah Natafuta?,acha nikutafute sasa mamii,maana umenena ukweli mtupu au vipi?acha kutangatanga Mwamini Mungu peke yake shika amri zake fata maagizo yake enenda katika njia zake wachana na ministry za wafia tumbo
Aaaaah bhana Ntafuta bhaaaanaaaaaaa usimalize tafadhali bhaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.MWAKASEGE ,RADIO SAFINA NA WENGINEO NI HAO HAO KWANGU MIMI NAMUAMINI MUNGU KUNA AMRI ZAKE PALE NA MAAGIZO YAKE BASI NIMEMALIZA
Kama wanaiga kwa utukufu wa Mungu hamna shida. Ila kwangu sioni tatizo wala kuiga. Kwani glorly to God ni ya mwakasege au ni neno linalompa utukufu Mingu. Acha kazi ya Mungu isonge mbeleHabarini Wadau,
Kama kawaida Mods, lengo si kukashifu ibada/huduma ya watu bali kuonya na kurekebisha
◆ SAFINA REDIO ni redio iliyopo jijini Arusha iliyoanzishwa miaka michache tu ya nyuma.
Niliwahi kuhudhuria ibada yao mara 2 na pia mara huwa naisikia kupitia redio za watu mbalimbali nikiwa Arusha.Muasisi ni Mzee Daniel Lema.
◆ Mwl. Christopher Mwakasege: Ni muumini halisi wa kawaida katika Kanisa Kiinjili la Kilutheri KKKT (Usharika wa kijenge) na mwalimu wa neno la Mungu kupitia huduma yake ya MANA.
Safina Redio Mnajiaibisha kwa tabia zifuatazo :
■ MNAIGA HUDUMA YA MWAKASEGE.
- Mfano wa kwanza:-
* Kuongea kama Mwasege:
baadhi ya Watumushi wa Safina Redio wanaongea kabisaa kama Mwakasege mpaka mtu unajiuliza iki iweje sasa? Mfano anavyosema
"Ooh halelujah haleluja" au
"Glory to God, glory to God"
Hasahasa "Otieno"
sasa mnaigaje huduma? Kweli mnaongozwa na Roho wa Mungu au na nafsi na maamuzi yenu ili mkubalike na waumini?
* Kutolea mifano kama ya Mwakasege pamoja na kutoa Shuhuda kwa namna ile ile anavyofanya Mwakasege katika huduma yake :
Pia hapa Mnaboa sanaa kuiga ule mtindo wa kuwaita watoa ushuhuda mmoja mmoja kisha utasikia
"Sifa kwa nani"
* Daah, Acheni kuiga iga, kuiga kutawafanya waliokomaa kiroho kugundua kuwa ninyi mnaongozwa na Maamuzi yenu au ya Daniel Lema na si na Roho wa Mungu.
■ MNASISITIZA MICHANGO NA SADAKA KULIKO KUOKOA ROHO ZA WATU:
Lengo la Yesu Kristo na Ukristo wenyewe ni Kuwaleta watu karibu na Mungu na kukuza uhusiano wao na Mungu
Safina Redio kila Jumanne, Alhamisi na Jumamosi sio siri huwa wanasisitiza zaidi utoaji wa Sadaka na Mchango wa Mnara/Minara kuliko kuwajenga watu kiroho.
Kwa anayebisha awasikilize hawa jamaa (Watumishi) ataamini hayo.
Msiige huduma, Mnakera...
Ongozweni na Roho wa kweli.
NdiyoooooooAkiyemtoa= Aliyemtoa
Kasara = Kafara
Una uhakika na ushahidi katika hayo uliyoandika?
Mungu hayupo, kama yupo baai atakua amezeeka sana na hata hakumbuki kama kuna viumbe wake wanaitwa binadamu, achana na imani ambazo hazina maana.MWAKASEGE ,RADIO SAFINA NA WENGINEO NI HAO HAO KWANGU MIMI NAMUAMINI MUNGU KUNA AMRI ZAKE PALE NA MAAGIZO YAKE BASI NIMEMALIZA
Hapana kutamka sio vibaya ila ukiwasikiliza vizuri ni kwamba target yao ni kuongeza idadi ya waumini na kuwazuia wasiende kwingine.Kama wanaiga kwa utukufu wa Mungu hamna shida. Ila kwangu sioni tatizo wala kuiga. Kwani glorly to God ni ya mwakasege au ni neno linalompa utukufu Mingu. Acha kazi ya Mungu isonge mbele
Sidhani kama kuna Taifa gumu kuishi kama letu! Duuuuu yani kila mtu ni mjuajiKama wanaiga kwa utukufu wa Mungu hamna shida. Ila kwangu sioni tatizo wala kuiga. Kwani glorly to God ni ya mwakasege au ni neno linalompa utukufu Mingu. Acha kazi ya Mungu isonge mbele
Mwakasege huyu huyu akiyemtoa kasara marehemu SEDEKIA huko Israel?
Acha bwana.....!!
DuuuuuuuSidhani kama kuna Taifa gumu kuishi kama letu! Duuuuu yani kila mtu ni mjuaji
It's a long story aiseeHebu tuthibitishie tukuamini.