Watumishi wa mungu

emma-chriss

Senior Member
Mar 16, 2011
100
16
Padri na sista walikua wanaenda kuhubiri injili kwenye parokia ya mbali toka kanisani kwao na ilikufika waendapo inabidi kutembea kwa miguu kwa muda wa siku mbili. siku ya kwanza ya safari yao usiku uliwakuta kwenye kijiji ambacho walipata chumba kimoja cha kulala kwenye nyumba ya wageni iliyopo kijijini hapo. padri ikabid akigawe kitanda kwa mto ili wasigusane. alfajiri ya cku ya pili wakaendelea na safari yao. wakati wanasongesha wakakuta jiwe kubwa limeziba njia. padri akashauri;
PADRI: itabid tupande hili jiwe na kurukia upande wa pili!
SISTA akiwaza moyoni: huyu Padri M***ge nini, ameshinda ruka mto ataweza kuruka jiwe?
 
Back
Top Bottom