AiseeeeMnasema 'siku hizi'
sababu zamani mlikuwa watoto hamkuweza yajua haya
haya mambo yapo kiaka yote
tofauti ni kuwa miaka ya siku hizi hakuna siri sababu ya mitandao ..
na zamani hukuyaona sababu ulikuwa mdogo.....
hakuna jipya kabisa
Mkuu km Kakobe, mwingira, Mzee wa yesu, Mzee wa upako mama rwakatare, gwajima nani wakuwaondoa ili hali hayo makanisa ni Mali yaoWatumishi wazinzi waondolewe kwani wanalinajisi kanisa. Hao ndio wanaosababisha baadhi ya waumini na wao kuhalalisha uzinzi wao "kipofu akimuongoza kipofu wote hutumbukia shimoni"
LolFata maneno yao usifate matendo yao
Cha kushangaza hata waliooa bado wanachepukawaruhusiwe kuoa na waambiwe madhara ya kuzini
Hata kama wakiruhusiwa kuoa haisaidii, wachungaji si wameoa? Madhara ya kuzini wanayajua na wanayahubiri kila siku? Mungu tu ndiye atakayefanya muujiza, vinginevyo hawatapona.waruhusiwe kuoa na waambiwe madhara ya kuzini