Amen shostitoShosti bwana asifiwe
Amen shostitoShosti bwana asifiwe
Wanakula madhabahuniHao ndio wachungaji kondoo.....
Amani ya kristo iwe nawe bibieAmen shostito
Ndio....Wanakula madhabahuni
NTARUDI KU COMMENT VIZURINakusalimuni nyote kwa jina la Mungu muumba mbingu na ardhi, poleni na majukumu,
Wapendwa nimeshakutana na hii kitu mara kadhaa kwa watu tofauti tofauti, kwamba wanna mahusiano na wachungaji au mapadri tena kwa kujifia kabisa bila kuwa na hofu ya Mungu, sijui wamekuwaje na wamepatwa na nini.
Hii kitu inashingaza sana kuona watumishi wa Mungu siku hizi wamecharuka kweli kweli kuzini yaani Msharika na mchungaji kuanzisha mahusiano imekuwa kitu cha kawaida kabisa, tena bila hata haya wanatumia neno la Mungu kufanya ujinga wao.
Kuna mpendwa mmoja jana alinitaka niende kwake bahati mbaya nikawa sipo mjini, kikubwa alichonambia ni kuwa alihitaji niende kwake nikamuone na kumthaminisha huyo mchungaji ili nimshauri kama anafaa au hafai, nikamwambia nimetoka kidogo akasema nikirudi mjini nimjuze ili nimwone huyo mtumishi wa Mungu nipate kumshauri awe nae ama la.
Nashangaa tu yaani sijui niwapi tunaenda, kuna Padri mmoja yeye yupo Kiwalani nae katembea na mke wa mtu jirani yangu hadi kumpachika mimba, na sasa mke ya mtu huyo anahangaika jinsi ya kutoa hiyo mimba, halafu Jumapili unasimama madhabahuni una hubiri dhambi kweli?
"Kwani mchungaji ahitaji kuwa na uhusiano? nae pia ni cheo tu kama ualimu"Nakusalimuni nyote kwa jina la Mungu muumba mbingu na ardhi, poleni na majukumu,
Wapendwa nimeshakutana na hii kitu mara kadhaa kwa watu tofauti tofauti, kwamba wanna mahusiano na wachungaji au mapadri tena kwa kujifia kabisa bila kuwa na hofu ya Mungu, sijui wamekuwaje na wamepatwa na nini.
Hii kitu inashingaza sana kuona watumishi wa Mungu siku hizi wamecharuka kweli kweli kuzini yaani Msharika na mchungaji kuanzisha mahusiano imekuwa kitu cha kawaida kabisa, tena bila hata haya wanatumia neno la Mungu kufanya ujinga wao.
Kuna mpendwa mmoja jana alinitaka niende kwake bahati mbaya nikawa sipo mjini, kikubwa alichonambia ni kuwa alihitaji niende kwake nikamuone na kumthaminisha huyo mchungaji ili nimshauri kama anafaa au hafai, nikamwambia nimetoka kidogo akasema nikirudi mjini nimjuze ili nimwone huyo mtumishi wa Mungu nipate kumshauri awe nae ama la.
Nashangaa tu yaani sijui niwapi tunaenda, kuna Padri mmoja yeye yupo Kiwalani nae katembea na mke wa mtu jirani yangu hadi kumpachika mimba, na sasa mke ya mtu huyo anahangaika jinsi ya kutoa hiyo mimba, halafu Jumapili unasimama madhabahuni una hubiri dhambi kweli?
wopo watakatifu sema ni wachache! hata mbinguni huwezi ingia bila utakatifu!Hakuna mkamilifu jamani waacheninao binadamu!
chunga moyo wako mchungaji hakupeleki mbinguni by the way! kila mtu anachagua njia yake so! hayo yote hayana budi kutokea maana ilikwisha nenwa na Yesu Kristo Mwenyewe sio kila asemaye bwana bwana ataurithi ufalme wa mbinguni!Nakusalimuni nyote kwa jina la Mungu muumba mbingu na ardhi, poleni na majukumu,
Wapendwa nimeshakutana na hii kitu mara kadhaa kwa watu tofauti tofauti, kwamba wanna mahusiano na wachungaji au mapadri tena kwa kujifia kabisa bila kuwa na hofu ya Mungu, sijui wamekuwaje na wamepatwa na nini.
Hii kitu inashingaza sana kuona watumishi wa Mungu siku hizi wamecharuka kweli kweli kuzini yaani Msharika na mchungaji kuanzisha mahusiano imekuwa kitu cha kawaida kabisa, tena bila hata haya wanatumia neno la Mungu kufanya ujinga wao.
Kuna mpendwa mmoja jana alinitaka niende kwake bahati mbaya nikawa sipo mjini, kikubwa alichonambia ni kuwa alihitaji niende kwake nikamuone na kumthaminisha huyo mchungaji ili nimshauri kama anafaa au hafai, nikamwambia nimetoka kidogo akasema nikirudi mjini nimjuze ili nimwone huyo mtumishi wa Mungu nipate kumshauri awe nae ama la.
Nashangaa tu yaani sijui niwapi tunaenda, kuna Padri mmoja yeye yupo Kiwalani nae katembea na mke wa mtu jirani yangu hadi kumpachika mimba, na sasa mke ya mtu huyo anahangaika jinsi ya kutoa hiyo mimba, halafu Jumapili unasimama madhabahuni una hubiri dhambi kweli?
Mh!Unataka mpaka nikwambie uwaache??
....hata wezi muwaache ni binadamu!
hapana hao ni watumishi wanakemea dhambi Sasa watakua na ujasiri upi wakukemea wanawavuvia roho chafu washirika na kanisa linakua halina nguvu ya roho wa bwana ataondoka paul aliwezaje atakae kumfuataYesu na ajikane hao s watumishi usiwatete Dada maana hukumu hii juu yao kwa kuaribu kondooHakuna mkamilifu jamani waacheninao binadamu!
hapana hao ni watumishi wanakemea dhambi Sasa watakua na ujasiri upi wakukemea wanawavuvia roho chafu washirika na kanisa linakua halina nguvu ya roho wa bwana ataondoka paul aliwezaje atakae kumfuataYesu na ajikane hao s watumishi usiwatete Dada maana hukumu hii juu yao kwa kuaribu kondoo
MhFuata neno unaloamini wale ni watu kama wewe wanaweza wasifuate pia
ninalo amini hao ni wapakwa mafuta biblia inasema sisi n nuru ya ulimwengu jee taa waweza iweka chini ya pishi...sisi n chumvi ya ulimwengu chumvi ikiharibika utatia nini ikoleee.sehemu nyingne anasema itoeni miili yenu hiwe silaha ya haki kwa mungu wanapo zini wanaitumia kuwa silaha mbaya wala mungu hawapo nao..ikimbie zinaa s swala la ubinadamuFuata neno unaloamini wale ni watu kama wewe wanaweza wasifuate pia
Tatizo Nyumba ndogo hadi kuzalisha ili hali anafamilia, huo ni uzinzi ambao yeye mwenyewe ndo wa kwnza kuhubiri kuhusu zinaaa halafu mlango wa nyuma anaongoza kwa kufanya zinaa"Kwani mchungaji ahitaji kuwa na uhusiano? nae pia ni cheo tu kama ualimu"
Ishi wanachokihubiri, usifuate matendo yao. Mengine siku ya hukumu.Mbona kila siku wanahubiri kuhusu uzinzi?