Watumishi UVCCM miezi 3 hakuna mishahara

Hivi katibu wa CCM yumo humu jamvini? Hata kama yumo hii si taarifa rasmi. Mwandikieni barua rasmi mkimueleza hoja zenu.
 
Hesabu za Polepole hizi akifafanua T1.5 akasema ilikuwa haijaiva wakaila mapema kabla haijakomaa. Hata huyo mwenyekiti wao anazunguka mikoani kula mishahara yao kwakuwa haijaiva
 
Toka enzi za malisa umeajiriwa uvccm mapak sasa bado upo basi wew unamatatizo ama ni mzito ama umebweteka wewe acha aendelee kubana upate akili ya kufanya inshu ingne
Mbona unahasira namna hiyo nn shida unapenda sana wenzio wanapoteseka
 
Mbona lemutuz ni uvccm je ana miaka 27
 
Mkuu hapa umewapoteza
 
Nani kakuambia utoe siri za ndani? wewe lazima unatumiwa! Unatakiwa usubiri vikao.
 
wasisahau kuintegrate cosine theta
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…