Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,930
- 4,410
hahaha pale ccm wanapo ona umuhimu wa JF ktk kupitishia vilio vyaoMara zote matarajio ya mtumishi hasa pale uongozi mpya unapoingia madarakani huwa ni positive. Kipindi cha Benno Malisa tulikuwa tunapata mishahara kwa wakati. Sadifa alikuwa anachelewa 10-15 days then tunapata mishahara. Sasa Kheri tokea aingie madarakani ni zaidi ya miezi 9 sasa, hali yetu inakuwa mbaya as days goes on. Ninapoandika uzi huu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hatujalipwa. Sasa sijui anategemea tutaishi vipi wakati yeye anazunguka nchi nzima kufanya ziara ambazo hata impact zake hatuzioni.
Dr. Bashiru tafadhali tusaidie katika hili. tuna familia, watoto, ndugu na majamaa wanaotutegemea. Na wengine tunasomesha watoto. Tunaomba utusaidie katibu Mkuu. hali ya maisha ni ngumu sana, tunaomba utuokoe
watumie njia hii kuzisomaMkishiba mnakejeri wasio na ajira,
Watoto wetu wakinyimwa mkopo nnasema sisi ni matajiri,
Tukilalamika ajira hamna mnasema tujiajiri,
Hatushangai tunawajua, kelele zako ni za muda mfupi, ukishiba utaanza tena kejeri,
We wish you all the best soma hizi 96585533255663666666666562233
Kwa Kawaida matatizo yasipotatuliwa mapema ni lazima yatoke hadharani. Ingekuwa mwezi mmoja yangebaki huko sasa wewe miezi mitatu hawajalipwa ingekuwa wewe ungefanyaje? Mwenyekiti anazunguka mikoani najiwekea kibindoni maalawansi kibao huku wenzake wanatesekaHaya siyo mambo ya ndani sana? mbona unayaleta hadharani? kweli njaa mwanaharamu
na mwenyekiti mkuu mbona huwa anasimamishwa na raia anagawa mil10 tano za kufikia tu huko anashindwa kuwalipeni kwa zaidicya miez yote hiyo?Kwa Kawaida matatizo yasipotatuliwa mapema ni lazima yatoke hadharani. Ingekuwa mwezi mmoja yangebaki huko sasa wewe miezi mitatu hawajalipwa ingekuwa wewe ungefanyaje? Mwenyekiti anazunguka mikoani najiwekea kibindoni maalawansi kibao huku wenzake wanateseka