jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
fanya homework yako vizuri.Zunguka famasi zote mjini kanunue dawa kama utapata ya GOT, hakuna mfanyabiashara mjinga anaweza uza dawa za GOT. Na ndio maana husikii serikali ikisema imekamata dawa zake zikiuzwa sehemu fulani. Na kama unafuatilia kwa makini utagundua hizi kelele za wizi wa dawa hakuna mtu anakamatwa na bado hakuna dawa hospitalini. Nimekwambia swala la dawa hospitalini ni pana zaidi ya ngonjera za kuwa watumishi wanaiba