Watumishi majizi na wazembe Sekta ya Afya ndiyo wanaoongoza kumpinga Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima

Sawa tumekusikia Ngwajima..ila ongezeni mshahara maisha ya watumishi yamekua tyt sana..unategemea waishije? Huku gharama za maisha zikiongezeka kila uchwao au hujasikia ishu za sukari..mafuta kupanda..ukiangalia mshahara ule ule wa mwaka 2015...hamueatendei haki nao wanafamilia kama zenu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
CCM wenyewe wezi, mwizi anapomtuhumu mwizi mwenzake - patamu hapo!!
 
Naunga mkono hoja, acha awanyooshe mama Dorothy piga kazi hakuna wa kukuyumbisha wananchi tuko pamoja na wewe
 
Mahospitalini Kuna ubadhirifu wa fedha za umma kupitia WIZI wa MADAWA, kuchukua rushwa kwa Wagonjwa, kufanya uharibifu wa makusudi wa vifaa tiba ili visiwe vinafanya kazi na kisha wagonjwa waelekezwe hospitali binafsi za watumishi hao.

Nani asiyejua namna watumishi wa Afya (madaktari na manesi) wanavyoiibia serikali pesa kwa kuchukuwa pesa kwa wagonjwa. Mnachukua pesa kwa wagonjwa, risiti hamtoi zinaingia mifukoni mwenu halafu mnakuja piga kelele kuwa hospitali haina dawa na vitendanishi ili hali pesa ambazo hospitali ingezitumia kununulia vitu hivyo imeingia mifukoni mwenu? Anachokifanya Dr Dorothy Gwajima ni kuwafumbua macho wananchi, kurudisha uwajibikaji kwa watumishi wa sekta ya umma ya Afya.

Wananchi mnayotendewa Hospitali za serikali siyo mnayotendewa Hospitali binafsi. Daktari ukimkuta Hospitali ya serikali huwa hana Good customer care, lakini daktari huyo huyo mkute Private hospital hutaamini kwa ukarimu atakao kuonyesha.

Kiufupi viongozi MAHOSPITALINI huandaa taarifa nyingi za uongo anapokuja waziri husika. Sasa kumdanganya huyu waziri wa sasa lazima uwe na PhD ya uongo.

Nani asiyejua kuwa madaktari Bingwa wengi ikifika saa nne asubuhi wanaondoka kwenye hospitali za serikali wanakolipwa mishahara na wamakwenda kufanya kazi kwenye hospitali binafsi ndani ya muda wa kazi wa serikali? Kwanini waziri akiwabana mnaanza kulialia?
Hivi ni mwananchi gani asiyefahamu lugha za karaha kutoka kwa wahudumu wa Afya? Hilo nalo waziri anapolikemea mnasema anawasuta?

Vifo vingapi vinasababishwa na uzembe wa watoa huduma mahospitalini? Waziri anapotoa ujumbe kuwa madaktari wapite ward rounds zote inavyotakiwa kwanini mnanuna?

Nenda mahospitalini kipindi hiki mambo yameanza kubadilika kabisa kisa kumhofia Mheshimiwa waziri.

Ukweli ndiyo huo
Huyu mzaramo sana mama huyu, ana umbea mwingi na kujigamba kama wanyambo wa kagera
 
Ni kawaida,ukiwa mchapa kazi sana wanaokuchukia ni watu unaofanya nao kazi,wanachoona wao ni kama unajipendekeza ili wao waonekane hawafanyi kazi,na wengine ndio hao ambao wameshazoea kupiga hela makazini hivyo inakuwa ni kama unawazibia,kwahiyo usitegemee kupendwa...
 
Hata mkuu serikali hii imevuruga Sana uhagizaji na upokeaji wa dawa kwenye vituo vya afya, kulikuepo mfumo wa wa ILS GATWAY huu mfumo ulikua mzuri dawa zilikua hazikauki vituon Kama Sasa, Huyo waziri KWANZA ajaribu fanya utafiti kwamba je huu mfumo uliopo wa uhagizaji dawa kwenye vituo wanaotumia una tija.

Alafu utasikia siasa eti mgonjwa asikose dawa kituoni ,ni Tabibu mjinga atakae kubali hili, kwamba mgonjwa anaumwa kichocho , dawa yake haipo so nimpe dawa nyingine ili kumridhisha, nitamuandikia dawa hata Kama haipo akanunue alihali najua akinywa atapona na hicho ndo kiapo Chao, sio mnaleta siasa hapa Yani mgonjwa akifika akaambiwa dawa hii hamna kanunue anampigia sim Mara nani ,Mara waziri ,alafu utasikia wanamaduka yao , Mara wezi.

Wananchi msipojiongeza na Hawa wanasiasa magonjwa yenu yataota usugu na mtakufa, fuata dactari wako anachokwambia hachana na Hawa wanasiasa
Dawa inaandikwa kwa kufuata Standard Treatment Guidelines ya nchi. Inamaana wewe Mfamasia kituoni kwako hapo hamfuati STG?
 
Huwezi dharau professionals namna hii

Ukidharau kiasi hiki ndio hizo dawa zitarudi?

Ni ulewaji wa madaraka,..yaani madaraka yamemuwakia mpaka amepaniki haamini yeye ni waziri,kichwa chake hakipo sober kipo overwhelmed na hicho cheo

Strategy za kusimamia hizo dawa unazosema ni mifumo,sio kutukana professionals wanaokutibia watu wako kama mavi....
Leta ushahidi ambako Waziri kamtukana Professional
 
Huna unachojua wewe kaa kimia, kwani huyo alipi kua DMO, RMO, MKURUGENZI WA TIBA hakuna waliokua wanaiba, na je unaniambia pamoja na serikali hii kujifanya kuwa wakali, kwenye wizara zingine hakuna wizi, mbona kipindi hiki ndo watu wanaiba Sana KWA mahesabu mwanana, watu wanapiga pesa za maana ,

Alafu unakuja na polojo eti wanaomsema ni majizi, KWA nini mnajitoa ufaham sana,hata mwenyewe inawezekana huko nyuma kaiba Sana, leo anajifanya msafi maana hakuna watu walikua wezi Kama maDMO wa enzi zake
Wewe unachojuwa kipi sasa si ukilete hapa? Mmebanwa ile mbaya na bado badilikeni tu watumishi wa Afya
 
Unajua mojawapo ya wizara zilizokuwa na wizi wa ki mfumo ni hii wizara ya afya.
Kuanzia juu kule MSD mpaka huku chini wilayani.

Kwa hiyo tuelewe kabisa kwamba mama Dorothy Gwajima waziri wa afya,anapambna na genge hatari la wezi wa madawa ndani ya wizara hiyo.

Ni genge hatari sababu wengi wao wana elimu na ukwasi mkubwa kutokana na fedha haramu walizojichotea kwa muda mrefu.
Sasa amekuja game changer na ndio maana tunaona mercenaries wa keyboards wameanza majungu mitandaoni.

Huyu mama ndio type sahihi ya mawaziri wa kasi ya JPM.
Muacheni achape kazi.amepambana sana hadi kufika hapo alipo.

Imagine ukerewe mtumishi wa afya alifunguliwa kesi ya wizi wa madawa katika hospitali,akahuumiwa kulipa fidia mil 100shs na akalipa on the spot.

Halafu mimi nadhani serikali inapaswa kumpa ulinzi wa ziada huyu mama kulingana na unyeti wa suala analopambana nalo.

VIVA DOROTHY GWAJIMA
I agree with you by 100%
 
Unajua mojawapo ya wizara zilizokuwa na wizi wa ki mfumo ni hii wizara ya afya.
Kuanzia juu kule MSD mpaka huku chini wilayani.

Kwa hiyo tuelewe kabisa kwamba mama Dorothy Gwajima waziri wa afya,anapambna na genge hatari la wezi wa madawa ndani ya wizara hiyo.

Ni genge hatari sababu wengi wao wana elimu na ukwasi mkubwa kutokana na fedha haramu walizojichotea kwa muda mrefu.
Sasa amekuja game changer na ndio maana tunaona mercenaries wa keyboards wameanza majungu mitandaoni.

Huyu mama ndio type sahihi ya mawaziri wa kasi ya JPM.
Muacheni achape kazi.amepambana sana hadi kufika hapo alipo.

Imagine ukerewe mtumishi wa afya alifunguliwa kesi ya wizi wa madawa katika hospitali,akahukumiwa kulipa fidia mil 100shs na akalipa on the spot.

Halafu mimi nadhani serikali inapaswa kumpa ulinzi wa ziada huyu mama kulingana na unyeti wa suala analopambana nalo.

VIVA MH, DOROTHY GWAJIMA

Ukiskia kelele zinaongezeka ujue mirija inakatwa
Wanaomlaumu Dorothy ukiwauliza kakosea nini wanakujibu anaongea sana😂😂😂 Wanashindwa kuelewa kwamba anaongea sababu anajua. Hahitaji kwenda kukaa na wataalamu ili aelewe, yeye anaongea ukweli papokwapapo

Mnaoumia kaeni kwa kutulia ndio kwanza mapema
 
Hongera kwa Field Marshal Iron lady katika uongozi wa sekta ya afya.
Wakati mwingine siwaelewi watanzania wanataka nini?
Wezi majizi wakitumbuliwa watu wanalalamika
Wakiachiwa watu wapige napo wanalalamika

Any way mm naona waziri anafanya kazi nzuri na wizara hiyo imempata mkunaji haswaaa
Huyo syo ummy ohoooo

Ova
 
Hongera kwa Field Marshal Iron lady katika uongozi wa sekta ya afya.
Hata juzi hapa bashe kagundua kna watu badala ya kuwapelekea mbegu za pamba wakulima wao wanawauzia wale wanao kamua mafuta
Vp hapo hao wanaonewaaaa au
Watu wajaribu kwenye ukweli wasimamie ukweli

Ova
 
Mahospitalini Kuna ubadhirifu wa fedha za umma kupitia WIZI wa MADAWA, kuchukua rushwa kwa Wagonjwa, kufanya uharibifu wa makusudi wa vifaa tiba ili visiwe vinafanya kazi na kisha wagonjwa waelekezwe hospitali binafsi za watumishi hao.

Nani asiyejua namna watumishi wa Afya (madaktari na manesi) wanavyoiibia serikali pesa kwa kuchukuwa pesa kwa wagonjwa. Mnachukua pesa kwa wagonjwa, risiti hamtoi zinaingia mifukoni mwenu halafu mnakuja piga kelele kuwa hospitali haina dawa na vitendanishi ili hali pesa ambazo hospitali ingezitumia kununulia vitu hivyo imeingia mifukoni mwenu? Anachokifanya Dr Dorothy Gwajima ni kuwafumbua macho wananchi, kurudisha uwajibikaji kwa watumishi wa sekta ya umma ya Afya.

Wananchi mnayotendewa Hospitali za serikali siyo mnayotendewa Hospitali binafsi. Daktari ukimkuta Hospitali ya serikali huwa hana Good customer care, lakini daktari huyo huyo mkute Private hospital hutaamini kwa ukarimu atakao kuonyesha.

Kiufupi viongozi MAHOSPITALINI huandaa taarifa nyingi za uongo anapokuja waziri husika. Sasa kumdanganya huyu waziri wa sasa lazima uwe na PhD ya uongo.

Nani asiyejua kuwa madaktari Bingwa wengi ikifika saa nne asubuhi wanaondoka kwenye hospitali za serikali wanakolipwa mishahara na wamakwenda kufanya kazi kwenye hospitali binafsi ndani ya muda wa kazi wa serikali? Kwanini waziri akiwabana mnaanza kulialia?
Hivi ni mwananchi gani asiyefahamu lugha za karaha kutoka kwa wahudumu wa Afya? Hilo nalo waziri anapolikemea mnasema anawasuta?

Vifo vingapi vinasababishwa na uzembe wa watoa huduma mahospitalini? Waziri anapotoa ujumbe kuwa madaktari wapite ward rounds zote inavyotakiwa kwanini mnanuna?

Nenda mahospitalini kipindi hiki mambo yameanza kubadilika kabisa kisa kumhofia Mheshimiwa waziri.

Ukweli ndiyo huo
Waziri hawezi fikia hospital zote ila kwakua anauzoefu na hio kazi na Anajua jinsi wanavyoiba na uzembe wanavyofanya, aweke mifumo itayotumika mpaka vijijini kuzibi hayo matatizo, na kwasasa ni teknolojia pekee inaweza kufanya hio kazi vizuri.
 
Yule mwingine aliyeiombe kolonel ikakimbi hamna mpango nae Tena kweli yakuambiwa ongeza na yako
Nb:ukiwa na bima ya afya huduma kwako lazima iwe yarasharasha
 
Waziri hawezi fikia hospital zote ila kwakua anauzoefu na hio kazi na Anajua jinsi wanavyoiba na uzembe wanavyofanya, aweke mifumo itayotumika mpaka vijijini kuzibi hayo matatizo, na kwasasa ni teknolojia pekee inaweza kufanya hio kazi vizuri.
Na ndiyo maana katumia vizuri social media za wizara ya Afya kufikisha ujumbe na maagizo nchi nzima
 
Hizo swaga namuonaga mama mwingine wa baraza moja la kitaaluma huwa anazo sana.Sidhani kama ni rahisi kuwabadilisha ila tu kama wako kwenye haki acha wafanye tu,ndio kina mama wetu wa kiafrika.Hawaja ji edit,wako kihalisia,hawafeki mannerism zao.

Mungu awape hekima tu wasionee wala kunyanyasa mtu asiye na hatia
Umemalizaaa
 
Back
Top Bottom