Watumishi kugombana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watumishi kugombana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by estson22, Jun 30, 2011.

 1. estson22

  estson22 Senior Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hivi wana jf mimi siwaelewi hawa watumishi mungu ambao tunawaamini hata kwa maneno wanayotuambia kurushiana maneno,kupitia majukwaa(madhabahu),hivi wanatuashilia nini,na wanatupeleka wapi sisi,maana juzi kati mtumishi fulani karusha maneno si mchezo.
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  usiweke mada nusu nusu ndugu ni bora ukaweka mambo hadharani ili watu waweze kuchangia kwa kina sasa unaposema mtumishi fulani karusha maneno bila kumtaja na bila kusema kazungumza nini inatuwia vigumu kuchangia. It more or less sounds like a rumour with no ideal source, naomba tunapoweka mada tuziweke kwa kina ili kuwapa wau fursa ya kuchangia vinginevyo tutakosa grounds za kuchangia.
   
 3. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Mkuu
  Kitabu kiko wazi kwamba siyo wote wamwitao Bwana .........!!!!!!!!, Pia kitabu kimeongeza kwa kusema zipimeni roho, mwisho kitabu kimesema
  siku za mwisho kutakuwepo na manabii wa uongo.

  Hivyo basi, vigezo vikubwa vya watumishi wa Mungu ni matendo yao, Paulo alisema nifuateni kama nilivyomfuata Kristo. Hakusema fanyeni ninayo waeleza hali yeye akifanya kinyume na yale.
  Kwa hiyo tusishangae hivi sasa kama tutakuwa na watumishi wa Mungu hewa ambao Mungu wao ni (tumbo). Maana Kitabu kimesema wengine Mungu wao ni Matumbo yao.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  Watumishi wa wapi sasa, si umwage ugali wao watamwaga mboga hapa jamvini.
   
 5. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  kakobe vs mama rwakatare
   
Loading...