Watumishi hewa ndani ya Ikulu

Utakuta majina hewa yote hela zote zinaingia kwa mtu mmoja ila akaunti tofauti wa 4
 
Rais Magufuli. Mkombozi wetu. Safi sana mheshimiwa. Safisha kila sehemu
 
Duh kazi ipo.Kama ni fedha za umma kuliwa basi watu wamechuma sana.Nadhani siyo mtandao mdogo huo.Mr.President should press further.Kuna baadhi ya wafanyakazi watiifu/waadilifu sana kwenye Utumishi wa umma na wanachapa kazi kweli kweli lakini huwa hawaonekani,kuna mmoja namfahamu walau amepata unaibu Waziri.Hawa huwa hawapendwi,hupewa majina ya kila aina-mnoko yule,anajifanya mlokole,anajipendekeza,anafanya kazi sana kwa ajili ya sifa,nk.
 
Kuendesha nchi bila kufuata taratibu au kihuni huni na kifisadi ni kuharibu nchi. Mwisho wake Tanzania ingeishiA kuwa kama Zaire tu, nchi tajiri wa kila kitu lakini kutokana na ufisadi ni li nchi la ovyo tu

Tengeneza nchi mheshimiwa Rais. Umma uko nyuma yako
 
Hivi Rais hawezi fanya kazi halafu ndio atupe mrejesho,hayo maagizo na katibu mkuu wangepeana huko wanakojua wafanye kazi,wawaondoe hao watumishi hewa na wanaouhisika wafunguliwe mashtaka ndio aje kwenye media aseme,ndugu watz tulikuwa na matatizo 1,2,3 nimechukua hatua 1,2,3 na matokeo yake yakawa 1,2,3.Isiwe tu misifa halafu baadae kimya.
 


Kwakuwa account zilikoingia hizo fedha zinajulikana basi ufanyike utaratibu wa kwenda kuzifuata pamoja na riba
 
Kwahio msimu wa report wanaandika report? msimu wa Performance Appraisal wanafanya? hii kali sana
 
Hapa watu chunguzeni wake zenu vizuri maana wa weza kuta nae nihewa tu!
 
Aisee kumbe nchi ilikuwa imezama, kila siku tunalia mishahara haitoshi kumbe wakiongeza tu inajaza matumbo ya watu

Mkuu, Yaani nchi ilikuwa imefikia pabaya. Huwezi kuamini kuna sehemu hawa Makatibu Wakuu wa Wizara na wakuu wa taasisi za serikali walikuwa wakishirikiana kutengeneza hizi deal.
 

Nimepiga hesabu ya kugawanya fasta, hii tu tatizo la madawati kwa watot wetu nchi nzima kwa mwaka mooja tu kwishne!!!
 
Hamna ya kunyongwa hawa watu. 1. Wafutwe kazi na anyang'anywe vyeti vyake vyote na kutangazwa
2. Afilisiwe na asiruhusiwe kuwa mwajiriwa sehemu yeyote. Nchi mbona itanyoka
Umenichekesha sana....huyo mtumishi unayetaka afutwe kazi na anyang'anye vyeti, ni yupi sasa? wakati umeshaambiwa ni hewa! Ukiambiwa mtumishi hewa, ujue hakuna mtu ni jina tu ndo lipo"
 
Duh...yaani Anne Kilango hakua na hata aibu kweli mkoa mzima ukose watumishi hewa wakati hata ikulu wapo?
Hakutumia weledi kama kiongozi kutoa majibu mepesi bila kufanya tafakuri ya kina hicho ndio kimemponza.
 

mtizamo ulioko sasa ni fedha inayookolewa kupelekwa maeneo mengine ya huduma za kijamii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…