Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
Watumiaji wote wa simu aina ya Blackberry, pia simu za aina zote zenye android chini ya 5, iPhone 4, 5, na 6 pamoja na simu zote zilizotengenezwa kabla ya mwaka 2015 kuanzia kesho tar 1 January 2021 kutakua na New update ambayo itawafanya hawatapata huduma ya WhatsApp tena mpaka pale tu watakaponunua simu nyingine.
"Maendeleo hayana chama"
"Maendeleo hayana chama"