1. Umetengeneza Acess point ama umeikuta? Setting za wap na web zina tabia ya kukataa playstore sababu zina proxy ndani yake. Hakikisha kwenye Acess point kuna setting zenye Apn Internet ama tengeneza yako mwenyewe upya.
2. Inayokataa ni playstore tu ama data haipandishi kabisa? Website nyengine unaweza kuingia?