Watumiaji wa posta hii ina maana gani!

Watumiaji wa posta hii ina maana gani!

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
773
Reaction score
1,087
Habari za Leo wanajamii forum.
Nimetuma mzigo kwa njia ya posta siku kadhaa zilizo pita kwa EMS.
Sasa niliyemtumia anadai hajaupata lakini nikiutrack napata notification hii kwenye picha hapo chini.
Je mzigo umefika au Bado.
Screenshot_20250418-153304~2.jpg
Screenshot_20250418-153304~2.jpg
 
Piga simu posta huduma kwa wateja upate uhakika wa taarifa.

Hapa hakuna mfanyakazi wa posta, utapata stress na mfazaiko tu
 
Huo mzigo haujafika huenda hata ofisi uliyotuma haujatoka au upo kwenye mabasi unasafirishwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom