eyes on detailsKautindio gani bro?
Sent from iphone user.
Keep your mind intactWamefanyaje akina secretarybird watumiaji wa iPhone
Watumiaji wakubwa wa simu nzuri ni Nchi zilizoendelea ndio maana wana hayo maduka mengi huku tunagusa sehemu ndogo sana ya simu bora..I phone ni kwa ajili ya wanawake
Ukimuona mwanaume anatumia i phone huyo sio mwanaume
Sio simu boraWatumiaji wakubwa wa simu nzuri ni Nchi zilizoendelea ndio maana wana hayo maduka mengi huku tunagusa sehemu ndogo sana ya simu bora..
Fungulia basi kautafiti tukuelewe humu ndani..Watumiaji wa iphone wana kautindio flani hivi nimeona kwa watu kumi na hii ndiyo researvh finding yangu
Acha ushambaTUNAOTUMIA IPHONE HATUNAGA TIME NA WATUMIAJI WA HAYO MADUDE MENGINE
CHA AJABU INAONEKANA WAO NDO WANAUMIA KUONA SISI TUNATUMIA IPHONE AFU WAKATI HUO HUO WANAZIPONDA
UNAWEZA KUWA NA IPHONE 8 PLUS NI YA MUDA ILA UKIITOA NA MTU MWENYE GOOGLE PIXELS YAKE KALI TU ATOE SIMU YAKE WATU WATABAKI KUKUANGALIA WEWE
Umemalisa mekuWenye pesa sina shida nao, ila unamuona "Kayumba nae ana hiyo simu " itamyumbisha.
+ UlimbukeniAcha ushamba
mumegeuka ile hadithi ya sungura alipozikosa zabibu akasema sizitaki hizi mbichi.I phone ni kwa ajili ya wanawake
Ukimuona mwanaume anatumia i phone huyo sio mwanaume