Watumiaji wa Gesi: MUHIMU Kusoma hapa

Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!

Nimelipa Kodi zimeliwa na mafisadi! Nadhani Gov ndio inatakiwa kujibu hilo
 
Kodi ni wajibu, kila mtu analipa. Una lolote la ziada ulilowahi kuifanyia Tz? Wazalendo wa kweli tunayo meengi.
 
Back
Top Bottom