Watumiaji wa Adobe Photoshop msaada tafadhali kuhusu hili

gumya

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
92
Reaction score
22
Naomba kujua jinsi ya kutengeneza image au text ambayo baadae ukiiweka juu ya image au background yoyote itakua kama glass flani hivi yaana na kile kilichopo nyuma/background kiendelee kuonekana. Mfano ni image/text hii niliyoambatanisha.
TTTTT.png
TTTTT.png
 
Sema nini mkuu ungezama YouTube kuna tutorial za kutosha uko
 
Kwa urahisi kabisa, Andika au weka picha unayotaka iwe watermark. Then ukienda kulia mwa photoshop ukiwa umebonyeza hiyo layer, punguza opaque ambayo inafanya neno au picha yako ififie.

Hakikisha background ni transparent. Kisha save in png or photoshop format. jpg or jpeg inaondoa transparency, so usitumie.

Umemaliza.

Anytime unataka itumia, drag and drop kwenye photoshop yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu, working 100%
 
Back
Top Bottom