Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa😎.
Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako.
Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu akaunti unayotumia kuanzia;
♟️ Nchi / Eneo ambalo kaunti Yako imefunguliwa.
♟️ Ni mara ngapi mtumiaji amefanikiwa kubadili jina kwenye hiyo akaunti.
♟️ Tarehe na Siku ambayo akaunti imefunguliwa.
♟️ Itaonyesha ikiwa muhusika anatumia VPN au lah.
♟️ Anatumia hiyo app kupitia Simu Gani (Android / iphone).
🚀 Kumbuka yote haya yanafanywa kuweza kuzuia na Kupunguza Matumizi ya akaunti Feki na zinazotumia Taarifa za Uongo au kueneza uchochezi nk.