Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #21
Me, nipo njema mkuu
Mzima ndugu,habari ya wewe?
Mzima ndugu,habari ya wewe?
i miss you too my dia
Hueleweki
Sitaki kesi na mchumba wangu.Anakuona ujue.. ohhooo!!!Sieleweki ki vipi mpenzi?
Sitaki kesi na mchumba wangu.Anakuona ujue.. ohhooo!!!
Ngoja aje mwenyewe hapa mtaelewana....maana ya mpenzi ni nini? mfano: mama yangu mpenzi, alikua rafiki yangu kipenzi.
Nifafanulie basi mpenzi wangu!
Ngoja aje mwenyewe hapa mtaelewana....
copy ..............
Mie simo..ninachojua mimi mpenzi sio kila mahaliHaya mpenzi nasubiri aje. Kwaiyo na wewe hujui maana ya mpenzi?
Tabia za watu kugombania siti kwenye daladala, leo ime mtokea mtu puani, baada ya mtu kushuka katika gari, ndipo kijana mmoja akanisukuma pembeni aiwai ile siti, kitendo cha yeye tu kutaka kukaa akaona maungo ya mwanaume(sehemu za siri za kiume) zikiwa zime simama (erection ) ahahah.... Tunaotumia huu usafiri tuweni na nidhamu kidogo wandugu.
Copy:
Ki ukweli sijaelewa. Ngoja nikale kwanza.
Mie simo..ninachojua mimi mpenzi sio kila mahali
Pole, usiku haukulala?
Tabia za watu kugombania siti kwenye daladala, leo ime mtokea mtu puani, baada ya mtu kushuka katika gari, ndipo kijana mmoja akanisukuma pembeni aiwai ile siti, kitendo cha yeye tu kutaka kukaa akaona maungo ya mwanaume(sehemu za siri za kiume) zikiwa zime simama (erection ) ahahah.... Tunaotumia huu usafiri tuweni na nidhamu kidogo wandugu.
Copy:
Nioneshe basi kwa vitendo jinsi unavyo ni miss jamani!
maneno tu yatosha
mmh!..kwa iyo ilisimama hadi mwisho wa safari?