Watuhumiwa wa ugaidi na nchi zao

Hii issue ya Mbowe ni tofauti na huko ulikotolea mifano.
Issue hii pia sio ya kumlaumu Mama.
Hapa kuna kazi ya Majasusi wa Magharibi. Ndio maana wanakuambia hawana rafiki wa kudumu au adui wa kudumu. Wakati wa JPM walimuita Dikteta wakawa na akina Mbowe ilimradi JPM aondoke madarakani. Majasusi wao wakawa wanawapa mbinu akina Mbowe za nini wafanye ili wamuondoe JPM.
JPM alipofariki wakawa bega kwa bega na Mama na kuwageuka akina Mbowe. Majasusi wanamuambia Mama Mbinu ambazo akina Mbowe wanazitumia bila kujali wao Ndio waliwafundisha. LEO hii Mbowe Yuko korokoroni wao wamekaa kimya, hawaoni tena udikteta hapa nchini.
hutamsikia yule Barozi akitoa tamko tena, hutasikia matishio ya kukatiwa misaada tena; kwanini? kwasababu yote haya wanayafanya wao
Acha uongo na unafiki wewe, mbona Makonda hawajamkamata. Hakuna cha ugaidi wala nini, wanataka kilio cha katiba mpya kife kwa sababu hii katiba ya ccm ndio roho yao.
 
Katika siasa za afrika hasa kwa vyama pinzani vya serikali za kiafrika kuna mambo mawili tu ambayo wapinzani ama viongozi wa upinzani wanapaswa kuyajua

Ni either washike silaha wapigane na majeshi ya mtawala ili wao wapinzani wawe salama ama washirikiane na watawala ili wao viongozi wa upinzani wawe salama

Lakini hii ya viongozi wa upinzani kutaka kujifanya wao wanakuwa vugugu haiwezi na wala haitokuja kuwaacha salama siku zote wao watakuwa watu wa kupokea maumivu kutoka kwa watawala ni either wawe moto kabisa ama wawe baridi kabisa lakini sio hii ya kujifanya wanabaki katikati kwamba wao ni vugu vugu siku zote wataumia tu hii ni kwa sababu serikali nyingi za kiafrika hakuna iliyotayari kukabidhi madaraka kwa wapinzani wake kupitia sanduku la kura na hata siku moja moja hawatokuja kuwa tayari

Sasa wao viongozi wa upinzani wanataka wapewe madaraka kwa mdomo ama propaganda hili haliwezekani kamwe abadani ni either wawe vibaraka wa watawala ama wawaasi watawala moja kwa moja hapo ndo wataweza kuwa wamejihakikishia usalama wao tofauti na ivyo hiki kilio ni mpaka mwisho wa dunia maumivu per day!!
 
Si twakesha popo🦇🦇🦇, wakati wanatoka
Si twakesha popo🦇🦇🦇, wakati wanatoka
Si twakesha popo🦇🦇🦇, wakati wanatoka
Iyoooo waiona iyo, iyo,iyo waiona iyoooo👀
Yaani wewe chizi naiona hii comment Yako Huko nasikiliza iyo ya mondi nimecheka sana!
😁😁😁😁
 
Huko mlikoenda mbali ni sana. Sidhani kama mbowe kafika huko maana mpaka sasa isingekuwa rahisi kutoka majumbani. Usiombee kukawa na magaidi level ya Al-Sabaab ( wakiongozwa na OBL), Shabab, Talibs etc...wale si watu wa mchezo hata kidogo. Kumuweka Mbowe hapo ni sawa na kulinganisha na ardhi au tembo na sisimizi. Wale ni level nyingine na ni watu wa mikakati hatari ya kupambana wa mataifa mazito na si hii drama ya mbowe. Achana na wale jamaa kabisa....
 
Maalim seif sharifu alidariki tarehe 17/2/2021 ,wapemba wakachukua mchanga wakasema yoyote aliyeshiriki atamfuata,baada ya siku chache watu wakaanza kumfuata mmoja baada ya mmoja.wakaskazini alikwwnda,wakanda ya ziwa naye akahitimisha agano la wapemba.sasa Kama Kuna mtu ameshiriki hujuma kwa mbowe kumpa kesi isiyo yake hakika tutamuona.
 
Back
Top Bottom