Watuhumiwa ugaidi wachafua hali ya hewa kortini

Watuhumiwa ugaidi wachafua hali ya hewa kortini

Wanasema akili ya kuambiwa changanya na yakwako pamoja na vifungu vya mandiko ya kwenye bible ulivyovisema/kalili umesikia ni mkristo gani aliyejitoa mhanga kwa kufuata maandiko hayo wakristo wanauelewa wakuchambua mambo siyo nyinyi mnadanganywa eti ukiwauwa watu/makafiri unapata dhawabu na unaenda kuzawadiwa mabikra 70,je na mwanamke anayejitoa mhanga anaenda kupewa wanaume wagapi iliwakamgegede?

sasa mkristo safi akiamua kufata maandiko ya yesu akajitoa muhanga km yesu alivyojitoa akautwaa uhai wake ataitwa nan?
 
Mtu ambae ana hatarisha amani ya nchi yetu si wa kumtetea hata angekua nani ni wa kumlaani tu.
 
Mtuhumiwa aweke picha ya jiti likiingia kwenye rinda ndio tuanze kuchangia.
 
Whaat? Askari kulawiti mtu ama kumdhalilisha ni kosa la jinai. Hivi vitu havifuatiliwi kwa nini? Hii mob justice tunayoiona kwa watuhumiwa wa wizi itahamia kwa askari siku moja!
 
Whaat? Askari kulawiti mtu ama kumdhalilisha ni kosa la jinai. Hivi vitu havifuatiliwi kwa nini? Hii mob justice tunayoiona kwa watuhumiwa wa wizi itahamia kwa askari siku moja!

hawa watakuwa wameingiliana huko lock up ili watengeneze mazingira ya kuichafua polisi. hata kama walifanyiwa, hakuwafanyi wao kutoshtakiwa!!!!

kwanza huyo barazuli aliyenyolewa midevu, kwenye moja ya matamshi yake aliwahi kusema,,,,",,,,na hao polisi kama wanajiamini waje, siwaogopi, nitapambana hadi mwisho kutetea uhai wangu. polisi atakaye nifuata, zitarudi damu tu....."

sasa leo analalamika polisi wamekuwa noma kuliko yeye? wacha alipwe. kwanza ni mwongo, hakuna mahabusu anayepokelewa magereza akiwa mgonjwa, sharti atibiwe ndo apokelewe.

yeye amehudumia majabali wenzie huko gerezani ili awaundie zengwe polisi!!!!!
 
Ccm endeleeni kuwachekea hao magaidi.kwanza nashangaa kwa nini wako hai hata sasa
 
Ccm endeleeni kuwachekea hao magaidi.kwanza nashangaa kwa nini wako hai hata sasa

mungu atakuondosha ww duniani kwanza na hao utawaaha hapo hapo,ww unadhani mungu ni dhalimu km mlivyo nyiny?
 
Usiombe kuhojiwa na polisi. Hivi hakunaga namna nyingine ya kuwafanya wakiri maana hiyo siyo Afrika tu, hata kule Guantanamo bay ilikuwa unyama wa kufa mtu.

Huwezi kutumia utu kuhoji wanyama,hiyo kazi wangenipa mimi.Umeshindwa kuwa maiti basi kichaa.
 
Mtu ambae ana hatarisha amani ya nchi yetu si wa kumtetea hata angekua nani ni wa kumlaani tu.

Mtu assiye penda muungano hapaswi ktk hii nchi haswa ukiwa muislam mwenye msimamo.tunawaona wengi hawautaki huu muungano lakini hawakamatwi.innalillahi wainnaillahi rajiun
 
Ccm endeleeni kuwachekea hao magaidi.kwanza nashangaa kwa nini wako hai hata sasa

Hawawezi kuwachekea nandiomaana wanasubili wavuluga amani wengine muandamane ili wawalawiti na vyupa vya soda maana wengi wenu mumeasirika.andamaneni kudai katiba.mnawacheka hawa kwakuwa ni waislam ila mungu analipa hapa hapa
 
Back
Top Bottom