Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,773
- 9,967
Yaani hujakosea kabisa... mtu mweusi ni mweusi mpaka rohoni.... mimi nilikuwa nasikia tu lakini sasa yananikuta najikaza tu.... ndio maana kale ka uzi ka Tammy Abraham kuukana unaijeria nimeona yuko sahihi kabisa
Yuko sahihi 100%, weusi tuna roho zimejikunja sana.