Watu Weusi: Viongozi wa "unnecessary spending"

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,936
Reaction score
3,940
Its simple ndugu zangu, hebu tumuangalie mtu mweusi anapopata pesa jinsi anavyovaa na vitu anavyomiliki. Utakuta amenunua vitu vingi hata asivyohitaji, na mara nyingi tu ili kuimpress watu ambao hawajui na wala hata hawana time na yeye.

Mtu mweusi ni mlalamikaji namba moja ila akipata ndio mtumiaji namba moja. Sisemi kwamba hakuna watu weupe wasio spend pakubwa ila wengi wao wako simple sana especially matajiri wao sio watu wa kushow off.

Mtu mweusi mid income tu huyo tayari ameshaanza kupangishia mchepuko, Mtu mweusi ni bingwa wa style za uvaaaji, cheni za kung'aa, kuandika majina kwenye plate number.

Mtu mweusi anajenga nyumba anarefusha paa linaenda juu zaidi ili hawaoneshe watu angali bora hata angeongeza hata chumba kimoja kama study room kutengenezea watoto norm ya kujisomea.

Mtu mweusi anatumia zaidi ya 50,000 kwa mwezi kwa ajili ya kurekebisha nywele zake alafu anakimbizana na landlord kwenye kulipa kodi, Mtu mweusi ndio bingwa wa kuzungusha round baani kuliko kubadirisha milo mezani kwake.

Mtu Mweusi ndio bingwa wa kutumia pesa nyingi katika kupamba duka kwa gharama kubwa alafu mzigo alionao ndani ya dukani ni trash.
 
Maisha ndio haya mkuu,hakuna maisha ya baadae,ishi sasa.usifikiri kuna kuvaa,kupendeza,kula,ama kulewa baada ya hapa NO.

Halafu yamekuwa mafupi mno,unawezatunza pesa bank kwa ubahiri wako hata mke,au kaka yako usimwambie,ukafa na boda boda BOT wakazihifadhi zaidi.
 
Tuseme Weusi ni Laana.
Kuna ukaribu mkubwa sana kati ya weusi na bichwa bovu I mean Low IQ mfano mzuri angalia ma Cerebrates weusi na weupe huko USA utagundua wanyakyusa na wanyamwezi waishio huko ni mfano wa vichaa kwenye jamii
 
Yaani kweli kabisa kwamba wazungu hawatumii😂😂😂😂. Wajinga wale wakipata hela wanavyomiliki mnavijua lakini, spendation, travels, starehe za kila aina. Au ndugu zangu na muandishi wa thread hamjatoka nje ya Africa jamani daah.
 
Yaani kweli kabisa kwamba wazungu hawatumii. Wajinga wale wakipata hela wanavyomiliki mnavijua lakini, spendation, travels, starehe za kila aina. Au ndugu zangu na muandishi wa thread hamjatoka nje ya Africa jamani daah.
Sorry nakupinga , hawa watu ni very economy hatari ukiona ana travel alishatenga fungu mda kwa ufupi wanafanya kile kilichopo kwenye schedule wachache wao ndo wanakurupuka
 
Your SocioPsychoAnalysis is Flawed Bias.

Simply put it, it is ambigious, it is Bigoted.

How Deplorable!
kiasi flani,hizi ni dalili za mtu maskini wala si za mweusi kama usemavyo.Japo weusi wengi tunaangukia hapa!!
 
kwamfano kijijini watu wanajenga mijengo mikubwa vyumba tele havijulikan vya kaz gani,zaidi vyumba kibao na bado choo cha nje!!
Paa refu na bati za rangi wakati mazingira machafu/hayana hata bustan yoyote zaidi ya mimie ilozagaa kuzunguka nyumba!!
Inawezekana njaa tunazokuzwa nazo huku ukubwani akili yetu inakuwa ishadumaa!!

Mi mwenyewe ni mhanga wa udumavu wa akili,ilitokea nikawekwa mahabusu kwa siku kumi hivi,baada ya kutoka nilikuwa nikitumia pesa ovyo sana.mwisho niliyumba na mpaka sasa ni muumini wa matumiz mabovu.
Nadhani matatizo hifanya mtu adumae akili,kama Waafrika wengi tulivyodumaa!!
 
Hakuna jamii isio na watu wenye tabia kama hizi jamii zote za masikini lazima zina fanana. Msemo wao unasema:- Masikini akipata matak..o hulia mbwata. Usiwe na chuki na sisi weusi wenzio mwana😂
 
kwamfano kijijini watu wanajenga mijengo mikubwa vyumba tele havijulikan vya kaz gani,zaidi vyumba kibao na bado choo cha nje!!
Paa refu na bati za rangi wakati mazingira machafu/hayana hata bustan yoyote zaidi ya mimie ilozagaa kuzunguka nyumba!!
Inawezekana njaa tunazokuzwa nazo huku ukubwani akili yetu inakuwa ishadumaa!!

Mi mwenyewe ni mhanga wa udumavu wa akili,ilitokea nikawekwa mahabusu kwa siku kumi hivi,baada ya kutoka nilikuwa nikitumia pesa ovyo sana.mwisho niliyumba na mpaka sasa ni muumini wa matumiz mabovu.
Nadhani matatizo hifanya mtu adumae akili,kama Waafrika wengi tulivyodumaa!!
Sure kabisa mkuu
 
Hata kama umeandika kiingereza kigumu hakikuondoi kwenye jamii ya watu weusi ambao wame kuwa characterised kama
LOW IQ CREATURES
Hata kama una avatar ya mzungu na nickname ya mzungu haikuondoi ktk uafrika Bara la watu wa low IQ
 
Its simple ndugu zangu, hebu tumuangalie mtu mweusi anapopata pesa jinsi anavyovaa na vitu anavyomiliki. Utakuta amenunua vitu vingi hata asivyohitaji, na mara nyingi tu ili kuimpress watu ambao hawajui na wala hata hawana time na yeye.

Mtu mweusi ni mlalamikaji namba moja ila akipata ndio mtumiaji namba moja. Sisemi kwamba hakuna watu weupe wasio spend pakubwa ila wengi wao wako simple sana especially matajiri wao sio watu wa kushow off.

Mtu mweusi mid income tu huyo tayari ameshaanza kupangishia mchepuko, Mtu mweusi ni bingwa wa style za uvaaaji, cheni za kung'aa, kuandika majina kwenye plate number.

Mtu mweusi anajenga nyumba anarefusha paa linaenda juu zaidi ili hawaoneshe watu angali bora hata angeongeza hata chumba kimoja kama study room kutengenezea watoto norm ya kujisomea.

Mtu mweusi anatumia zaidi ya 50,000 kwa mwezi kwa ajili ya kurekebisha nywele zake alafu anakimbizana na landlord kwenye kulipa kodi, Mtu mweusi ndio bingwa wa kuzungusha round baani kuliko kubadirisha milo mezani kwake.

Mtu Mweusi ndio bingwa wa kutumia pesa nyingi katika kupamba duka kwa gharama kubwa alafu mzigo alionao ndani ya dukani ni trash.
Eleleza basi wewe jinsi unavyotaka watu waishi!

Pamoja na maelezo utakayotoa ukumbuke pia kuwa binadamu yeyote bila kujali mzungu ama mweusi, kila mtu ana kipaumbele chake kwenye maisha yake.

Hata kulewa ama kula ni kipaumbele chake mtu na ni uhuru wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom