Watu weusi tuna shida Sana (Mindsets)

Ila kamrembonflani amazing nilikaona timu ya sauz aftica na pia kule morocco...vinavutia hivyo
Yes wachache Sana Yani asilimia 5% wanajitambua lakini 95% wanajiona vidume . Unaweza Kuta wana mademu zao cuz hawawezi kujifanya vidume hivihivi tu yani unakuta vinatembea Kama wanaume kanaongea Kama wanaume n.k
 
Hakika Mkuu kwasasa wanajiona vidume kuanzia kutembea, kuongea, kushangilia n.k utakuta wana mademu zao pia cuz hawawezi kuvimba burebure tu kama wanaume.
Ndio kuna umri utafika nature itawarudisha kwenye mstari tu maana watakua hawana kingine cha kupoteza zaidi ya kujipoteza wao wenyewe
 
Na kiswahili utakuta hawawezi kuzungumza tena Yani shida tupu.
 
Nimewahi fanya kibarua kwa Wachina kipindi fulani, kuna supervisor mmoja alikuwa na msemo wake mkizingua anawaambia "Swahili S***e sana" 😃
😁 Hatari Sana Mkuu anaona tunabwela Sana.
 
😁😁 Mkuu basi basi usije walipua Bure 😁😁.
 
Ndio kuna umri utafika nature itawarudisha kwenye mstari tu maana watakua hawana kingine cha kupoteza zaidi ya kujipoteza wao wenyewe
Na kuna wengine wanapotea mazima hawapati chance.
 
Kweli wanasoka wa kike kwa Afrika ni majanga. Na wanaongoza kwa kujihusisha na usagaji. Timu ya SA imejaa wachezaji waliooa wanawake wenzao.
Hakika Mkuu unakuta toto lakike linatembea Kama mwanaume anaongea Kama mwanaume anashangilia Kama mwanaume lazima atafute demu pia ili aendelee kuwa Kama mwanaume.
 
Para zako mbili za mwisho ndo mental slavery nayozungumzia. USIJIDHARAU BLACKMANšŸ‘‹
 
Dr. Mariposa una lolote la kuchangia kwenye huu uzi??
Naam, ninalo,
Mtoa mada amechanganya changanya vitu vingi amewaponda wacheza mpira wanawake lakini pia amewaponda waafrika kwa ujumla, naona hapo kwa waafrika ni kama na yeye anafanya kama walivyo waafrika wengine, kuona waafrika hawafai kufurahi, kumwaga mipesa, kufanya the so called dhambi kisa ni waafrika hapo tayari mindset yake imefungwa fungwa na utumwa wa fikra, kila binaadam bila kujali jinsi yake, rangi yake, utaifa wake waka sexuality yake anahaki ya kufanya chochote na akasifiwa ama kuadhibiwa kama amepitiliza

Tukija kwa wachezaji wa Africa wa kike ni kweli wengi wana utomboy na hii inachagizwa na jamii waliyopo kuona kua mpira wa miguu ni wa wanaume kwa hiyo na wao wanajikuta wanaiga ukiume ili waende sawa na kaka zao, binafsi sipendezwi na hicho kitu, hivyo hivyo kwa boxing,

Wachezaji wa Ulaya na America ni moja ya sharti zao kua kikike nilivyosikia, nadhani wasingeweka hilo sharti tungeona mabro wengi sana wakisakata kabumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…