Haujaelewa Mkuu au niseme umekariri. Hapa sipo kumpa sifa mtu mweupe nazungumzia ule ukweli vijana weusi ndiyo wanachachawa kwa kuwaiga wazungu mpaka wanaharibu. Utom-boy si mambo ya kiafrika ni mambo ya kizungu vijana weusi mnaiga mpaka mnapitiliza alafu unasema na chachawa au nyie ndiyo mnachachawa Kwa uzungu jinga ambao hata wenyewe hawaufuati.Hii kitu ndo katika yoooootee hua nasema hakuna kitu kibaya wazungu/wakoloni walimpandikiza mtu mweusi km hiki cha mleta uzi...nyie ndo mkiona mzungu mnachachawa.π€£
Wafrica ni nyani walichangamka changamka π€£π€£π€£π€£Habari Wakuu.
Jioni nikirudi nyumbani huwa naangalia mpira CWC. Sasa kabla wanaume hawajaanza huwa naangalia mpira wa wanawake(Timu za taifa za wanawake) wachezaji wanawake wa timu za watu weupe wapo vizuri Sana kimuonekano Yani wamesuka vizuri wana haiba zote za kike.
Njoo Kwa timu za watu weusi wachezaji wakike karibu wote wajifanya wanaume hakuna ile haiba yakike Yani ni matom-boy wanaona mpira unawataka kuwa vile kumbe sio wanajiona vidume yani.
Hata dhambi tunaongoza sisi watu weusi sema tu umasikini umeficha dhambi zetu . Laiti tungekuwa na Mapesa sisi Dunia isinge Kali hii watu weusi mindset zetu ni mbovumbovu Sana.
Watu weusi tunashida Sana katika kuendesha maisha yetu kiujumla.
Mpaka ukifika umri wa kustaarabika ndio wanaacha na huo ni ule umri mtu anaona hana kitu kingine chochote cha kupoteza isipokua ni kujipoteza yeye mwenyewe hapo ndipo anaporudi kwenye mstari sahihiHata dhambi tunaongoza sisi watu weusi sema tu umasikini umeficha dhambi zetu . Laiti tungekuwa na Mapesa sisi Dunia isinge Kali hii watu weusi mindset zetu ni mbovumbovu Sana.
Watu weusi tunashida Sana katika kuendesha maisha yetu kiujumla.
Hasa watu wa ccmπHabari Wakuu.
Jioni nikirudi nyumbani huwa naangalia mpira CWC. Sasa kabla wanaume hawajaanza huwa naangalia mpira wa wanawake(Timu za taifa za wanawake) wachezaji wanawake wa timu za watu weupe wapo vizuri Sana kimuonekano Yani wamesuka vizuri wana haiba zote za kike.
Njoo Kwa timu za watu weusi wachezaji wakike karibu wote wajifanya wanaume hakuna ile haiba yakike Yani ni matom-boy wanaona mpira unawataka kuwa vile kumbe sio wanajiona vidume yani.
Hata dhambi tunaongoza sisi watu weusi sema tu umasikini umeficha dhambi zetu . Laiti tungekuwa na Mapesa sisi Dunia isinge Kali hii watu weusi mindset zetu ni mbovumbovu Sana.
Watu weusi tunashida Sana katika kuendesha maisha yetu kiujumla.
πππ Mkuu umenichekesha Sana. maelezo yako hakika kabisa shida tupu.Wafrica ni nyani walichangamka changamka π€£π€£π€£π€£
Ila kweli wadada wapiga boli wa aftica hawajilembi kama wa ulaya bwana...ulaya unacheki fabo huku unapoint yule namba tatu mzuri, namba tisa wao ana shape nzuri.
Njoo africa sasa....unaanza kusema mweew huyu sii mwanaume kabisaπ€£π€£π€£π€£π€£
Facts only bossππππ Mkuu umenichekesha Sana. maelezo yako hakika kabisa shida tupu.
Hakika Mkuu kwasasa wanajiona vidume kuanzia kutembea, kuongea, kushangilia n.k utakuta wana mademu zao pia cuz hawawezi kuvimba burebure tu kama wanaume.Mpaka ukifika umri wa kustaarabika ndio wanaacha na huo ni ule umri mtu anaona hana kitu kingine chochote cha kupoteza isipokua ni kujipoteza yeye mwenyewe hapo ndipo anaporudi kwenye mstari sahihi