Watu weusi hatuna haki angalia hapa

Mkuu si umeuona mwili wa nigga???na nnavyowafaham black huwa hawakubari kirahisi kuwekwa chini ya ulinzi.
 
"watu weusi" ndio unamaanisha nini
 
Na bado endeleeni kumuabudu mzungu tu, mliposhindwa kujitambua mkaamua kucopy life style kuwa ya kizungu mlitegemea nini,
Black is slave mpaka mwisho wa dunia au mpaka siku mtapojitambua
 
siku zote watu weupe wana mtazamo hasi (usiofaa) kuelekea watu weusi, pia mbaya zaidi watu weusi wana mtazamo chanya (mzuri) kuelekea watu weupe......
Muafrika (kwa walio wengi) akimuona mzungu.... atampa sifa zifuatazo: amesoma, ana mali, ni muungwana, mstaarabu, ana upeo wa juu sana wa kuwaza na kufikiri, siyo mwizi, siyo mshenzi n.k......
Mzungu (kwa walio wengi) akimuona muafrika anakuwa na mtazamo tofauti na nilioueleza hapo juu...
 
Ni sahihi KABISA. Kwa sababu hata sisi wenyewe hatuheshimiani. Rejea mauaji ya mwandishi
 
Ni sahihi KABISA. Hata sisi wenyewe hatuheshimiani rejea mauaji ya waandishi, mwangosi, vijana wa Arusha, kijana wa morogoro na mengine mengi. Lkn pia nenda nchi zote za Afrika hali ni hiyo hiyo.
 
Heri yako wewe unayewaabudu waarabu na majini yao.
Na bado endeleeni kumuabudu mzungu tu, mliposhindwa kujitambua mkaamua kucopy life style kuwa ya kizungu mlitegemea nini,
Black is slave mpaka mwisho wa dunia au mpaka siku mtapojitambua
 
historia ya utumwa ujeur,kibur na vurugu za enz hizo ndio zinatufikisha hapo
 
ha ha aha ha hivi police anatumia nguvu kama ujatumia nguvu? nadhani jamaa angeleta fujo angepata ya black
 
Unajua ubaguzi hauwezi isha kamwe

Ubaguzi hauwezi kwisha kamwe. Sio tu Wazungu wanaobaguana hata hapa Tanzania watu wana baguana ki ethnic groups, classes za kwenye jamii zenyewe zinabaguana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…