Watu wenye sura mbaya na miili mibovu. Vinasaba vyao vikali sana

Tella Mande

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
494
674
Nimekuwa nikiona picha za familia mbalimbali na pale ambapo mmoja wao ana sura au mwili usioumbika vizuri unakuta karibu watoto wotee wanafana na yule mbovu, na yule mzuri anakuwa hajaambulia kitu.
Mtu anakomba mpaka kucha, vudole, size ya mguu nk.

Hii ni kwanini wadau ?
 
db53229c-a5bc-4c79-9140-30d42d7f3088.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom