flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Ni muda mrefu nimekuwa nikijiuliza juu ya hili suala.Mtu mwenye jinsia mbili yaani "ke" na "me" anawezaje kuwa na mahusiano ikiwa sehemu zake zote za siri zinafanya kazi?Suala la kuoa au kuolewa likoje?Je kuna matibabu ambayo watu hawa wanaweza kuyapata ili kuweza kubakiza jinsia moja?Nahitaji majibu au wale wanaohusika moja kwa moja ni vizuri mkinipa elimu tafadhali.