Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Biashara imedoda ya maiphone hapo mlimani city sasa unakuja na matangazo ili upate wateja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Pixel amewazidi kwenye hardware ila sio software. Bado wanasafari ndefu
 
 
Na kwenye hiyo 13 Pro bado hawezi kukaa meza moja na pixel 4XL kwenye swala la Camera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…