Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Ukimuona mtu anakomaa Kwa nguvu zote kuishusha iPhone dhidi ya android cha Kwanza mchukulie kama mwehu alaf badae ndo muendelee na maongezi... Huwez kutengeneza brand yako ikawa ya thaman dunia nzima Kwa kubahatisha
[emoji3][emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Basi hongera unaejua mkuu

Sio kila kitu kwenye android kipo pia Ios ila naamini hata reels huijui mkuu

Si kila kitu ubishane
Hapa nina Samsung na iPhone pia najua kipi nasema
We umesema huwezi kupromote reels kwenye instagram, Ndio nikasema hujui kutumia simu.

Heheh, sawa mkuu mimi reels sizijui, Ila hii ni moja wapo ya reel kwenye Intagram account yangu.
 
Mwandishi ana tamani kulia lakini kaona aje uku kuwapa moyo IOS wenzake

Huu unyama wa iphone unaweza kulia kweli? Nitakuwa sina akili

Pia tambueni watu wote popular wapo iphone kanunue hata iPhone 6 laki mbili tu
 
Huu unyama wa iphone unaweza kulia kweli? Nitakuwa sina akili

Pia tambueni watu wote popular wapo iphone kanunue hata iPhone 6 laki mbili tu
Kununua iPhone 6 ni ushamba wa maisha na umasikini wa akili[emoji2960][emoji2960]
 
[emoji3577][emoji3577]

Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
 
Acha kufananisha Pixel na iphone kweny camera,kaangalie blind test ya MKBHD 2022 uone pixel 6A tu ilivyowachakaza wapinzani [emoji1]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Lakini kuna huyu DXOMark nimeona ameiplace Vivo X90 Pro Plus chini ya Google Pixel 7 Pro kwa kamera wakati YouTube karibia kila video inaonesha Vivo yupo vizuri tena unaweza kuona utofauti hata kwa macho.
DXOMark sitokaa niiamini tena, huyo MKHBD sijajua ameiplace wapi Vivo X90 Pro Plus
 
[emoji2962][emoji2958][emoji848][emoji120][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mzee pole sana kwa kuchelewa kuwagundua dxomark ni wahuni,wale wanalamba hela kisha wana compromise simu zingine ,mi nilishaacha kuwaamini zaman sana,Scandal yao kubwa ndio hiyo

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
nanoreview.net says more about your mind.
And YouTube videos say more about what?
Sio kila kona ya Nanoreview inaangalia mind za watu, kwenye maeneo kama perfomance, display, camera, etc Nanoreview inacollect data kutoka test mbalimbali. Sehemu kubwa ambayo Nanoreview inahitaji data zako ni bei ya simu au Votes, je wewe ungechagua nini?
Ndio maana kuna comparison nyingi tu watu wengi wamechagua simu A lakini Nanoreview inasema simu B ndio nzuri
 
Hiyo mashine ni kiboko. Halafu now ipo mpya inakuja sokoni soon. Samsung Galaxy note 23 ultra acha kabisa. Ina specifications za kibabe balaa. Kamera tu iliyolala hapo ni ya 200MP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…