Capital G JF-Expert Member Joined Jul 2, 2017 Posts 3,445 Reaction score 5,367 Jul 10, 2022 #41 Mshana Jr said: Na wakopaji wasiolipa madeni Click to expand... Na ukidai unaonekana msumbufu huku hela yako [emoji23]
Mshana Jr said: Na wakopaji wasiolipa madeni Click to expand... Na ukidai unaonekana msumbufu huku hela yako [emoji23]
K kichury Member Joined Jun 27, 2021 Posts 41 Reaction score 46 Jul 10, 2022 #42 Swala la kulipa deni wengine ni moyo asee yani mtu unaona kabisa hajashindwa kukulipa ila bas tu sio mlipaji kila kona ana madeni ya ajabu ajabu
Swala la kulipa deni wengine ni moyo asee yani mtu unaona kabisa hajashindwa kukulipa ila bas tu sio mlipaji kila kona ana madeni ya ajabu ajabu