Watu wengi siyo waaminifu wanapoazima vitu

Afu wengi wao wanajifanyaga wacha munguuuu...lakini inapofikia kwenye suala la hela kama uliwakopesha....., ndo unawaona wazi kabisa....wanachofanya ni maigizo tu huko wanakosali.

Hovyo kabisa!!!!

Niliazima mtu kiasi flani cha fedha,...nikamsihi wakati wa kuirudisha anirudishie yote kama ili.

Mpaka sasa kanirudishia robo....., na hata sijaifanyia kitu chochote , kwa hasira nikaipiga kiberiti. Yaani nilikua najua mishikaji ni mchaMungu kindakindaki....full kupost mistari ya biblia kwenye WhatsApp Status yake....

Dah wahuni sio watu wazuri kabisa!!!!
Kwa maono yangu ni kwamba hali halisi ya maisha ndio inatufikisha hapo wengi kuonekana wakorofi,mfano unaazima 10000 na unaahidi kurudisha baada ya siku tatu,umetafuta umepata kweli hiyo 10000 lkn tatizo lilopo mbele linapita 10000 unachofanya ni kitatua shida iliyopo kwanza mezani na kiemdelea na maisha[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Kuazima mtu kitu ni risk sana sio waaminifu kabisa
 
kuna wengine wanaazimishana ...fedha ..... magarii etc, ambao kwa karne hii huwa nawashangaa ni wanaoazimishana nguo, viatu ..
Mbona mimi sijawahi kinunua hata nguo, viatu na vitu vingine lakini naishi vizuri tu kwa kuazima azima, hii ni njia nzuri sana ya kiendesha maisha bila wasiwasi wa gharama, jaribu utaipenda.
 
CHAPTER YA kuazima iwe in or out......nilishaifunga longii sana.....we niseme upendavyo.........hata kukopesha sitaki kabisa...njoo nikupe kazi nikulipe...sepa......watu ni washenzi sana...akija kukopa anavyoomba......tena hao wanaoshinda kwenye masinagogi ndio balaaa....
 
Bora iwe hivyo.
 
uaminifu upo kwa waliostaarabika mapema hasa nchi za mbele huku kwetu inabidi na wewe ujifunze kuchelewesha, ila Mimi nimejifunza kudhurumu kabisa na siyo kuchelewesha, you inasaidia kunipa amani ya moyo
 
Nilishawahi muazimisha mtu gari yangu dahhhh nilienda nyumbani kama 2 weeks nikaona kuliko ikae bora nimpe jamaa moja tuko ofisi moja.... nilichokikuta niliporudi dahhh kaligonga na kulipark funguo kamuachia mlinzi....

Mwingine nilimkopea mahali enzi hizo 2016 hela mtu wangu wa karibu alikuwa anafungua biashara kwa Madai yake kitu kama 5m kilichonikuta sitakuja kopesha hata sisimizi huu ni mwaka wa 6 ukimdai ni ugomvi mkubwa, hadi deni la watu ilibidi nililipe mwenyewe.

Ila kiufupi wengi wanaokopa kopa sio waaminifu. Kwa sasa nimejifunza sikopeshi mtu, Mimi binafsi sijawahi mkopa mtu hata niwe na shida kiasi gani
 
Mimi nikimuazimisha mtu kitu hasa pesa, cha kwanza hatuandikiani ila namwomba anipe kucha zake, nywele zake, nyayo zake na kipande cha nguo yake. Vyote nachukua anaona kwa hiari yake kisha nampa hela. Asiporudisha namfanya kichaa
 
Nilishawahi muazimisha mtu gari yangu dahhhh nilienda nyumbani kama 2 weeks nikaona kuliko ikae bora nimpe jamaa moja tuko ofisi moja.... nilichokikuta niliporudi dahhh kaligonga na kulipark funguo kamuachia mlinzi....

Mwingine nilimkopea mahali enzi hizo 2016 hela mtu wangu wa karibu alikuwa anafungua biashara kwa Madai yake kitu kama 5m kilichonikuta sitakuja kopesha hata sisimizi huu ni mwaka wa 6 ukimdai ni ugomvi mkubwa, hadi deni la watu ilibidi nililipe mwenyewe.

Ila kiufupi wengi wanaokopa kopa sio waaminifu. Kwa sasa nimejifunza sikopeshi mtu, Mimi binafsi sijawahi mkopa mtu hata niwe na shida kiasi gani
Pole sana.
 
MiMi hii ndo weaknes yangu yaan ni mgumu kulipa den vibaya mno
Na sio kwamba unakuta sina hapana unakuta ninazo ila naona uchungu kutoa ile hela
Naweza kukukopa 2m nikaongezea kufanya kitu na ndani ya muda nilioahod kurudisha ukakuta ninayo ila sasa kurudisha mpk tuzungushane sana mpk hali ikiwa mbaya ndo narudisha tena kwa uchungu sana
Sijui na pepo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wenye tabia kama yako ndio wanatufanya wengine tuonekane wachoyo. Mimi nina changamoto ya kudai mtu niliyemkopesha. Hivyo kutokana na udhaifu huo ukichanganya na tabia za watu kama wewe wasiopenda kulipa baada ya kukopeshwa- azimio ni kutokopesha tu.
 
MiMi hii ndo weaknes yangu yaan ni mgumu kulipa den vibaya mno
Na sio kwamba unakuta sina hapana unakuta ninazo ila naona uchungu kutoa ile hela
Naweza kukukopa 2m nikaongezea kufanya kitu na ndani ya muda nilioahod kurudisha ukakuta ninayo ila sasa kurudisha mpk tuzungushane sana mpk hali ikiwa mbaya ndo narudisha tena kwa uchungu sana
Sijui na pepo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii tabia haina mwisho mzuri.
 
Sip una Pepo kifupi ni una roho mbaya!! Huna utu wala ubinadamu ni mtu mbinafsi na hutakuja ufanikiwe kwa kuishi maisha ya dhurma. Imagine mtu ameacha mambo yake binafsi kukufadhili Halafu uone uchungu kumpa alichokufadhili!?? What a wicked person pohhhh sio sifa ni kukosa uungwana na ufirauni. Mwisho wa siku maisha hayaendi hivyo hakuna Baraka utapata katika hilo, ukiaminiwa aminika. Unaonea Uchungu hela sio yako hizo ni akili za kimaskini na ndio maana wengine hamuendelei na hata ukiendelea huchelei kuandamwa na nuksi na mikosi. Yan mtu anaacha kufanya mambo yake anastopisha ili akupatie pesa wewe ufanye yake then kumrudishia umzungushe kisa roho inakuuma next time utakuja kupakwa KY akili ikukae sawa
 
Back
Top Bottom