Watu wengi huwa wanalala vyooni


Chumbani hakuna choo bali kuna sehemu ya kupokelea choo na kinasafirishwa kwenda kwenye choo ambapo ni Nje kabisa ya nyumba.
Sasa sehemu ya kupokelea choo, unaweza kudesign unavyo ona inafaa ILA ni kweli kuwa mlango ukielekea nje/kwenye corodor ni vizuri zaidi
NAFIKIRI NI KUKOSA UELEWA KWA KUAMINI KUWA SEHEMU YA KUPOKELEA CHOO NDIO CHOO, NI SAWA NA MTU KUITA MTO KUWA NDIO ZIWA AU BAHARI, wakati mto unapitisha tu maji kwenye Ziwani/baharini.
 
Lengo la ensuite ni kuondoa uhitaji wa mtu kutoka chumbani ili kupata huduma ya choo. Unachoshauri kinsrudi kule kule kutoka nje ili uende chooni,yaani tutumie kile choo cha wote koridoni. Acha ku complicate maisha.
 
Hahah, mm nikiamka tu kutoka kitandani nikafungua macho nauona mlango wa Choo πŸ˜….

Kuna nyumba flani nilikua nimepanga, Yule ndo aliweka atleast, Choo kipo mlangoni wa kuingia chumbani.

Means, hata alieko sebleni anaweza enda toi bila kuingia chumbani
 
Huna akili mavi wewe!
 
Chat
Chat gpt anasemaje
 
😁😁 Kwaiyo unataka kumaanisha nini?

Ila hii ipo kwa developers wetu wa bongo wanajenga kibishara zaidi, developers wa nje apartment ya one bedroom choo hakipo chumbani kabisa kina mlango wake kama milango mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…