Watu wengi huwa wanalala vyooni

chuj

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
52
Reaction score
109
Habari,

Nimegundua watu wengi huwa wanalala kwenye vyumba vyenye choo ndani au vyoo vyenye chumba ndani.
Hii ni baada ya kuona ujenzi wa nyumba nyingi za kupanga, air bnb, na nyumba za kuishi hujengwa kwa kuweka chumba kwenye choo. Yaani nikimaanisha watu wengi wanalala kwenye vyumba vyenye muingilino wa namna moja au nyingine na choo.

Ushauri: wachora ramani na wamiliki wa nyumba ziwe za biashara au binafsi wajitahidi kutenganisha vyumba hivi. Kila kimoja kiwe na mlango unaojitegemea kuelekea nje au kwenye korido.
Nawasilisha
 
Huduma za vyoo huzingatiwa. Ndio maana kuna Public toilet na self contained bed room.

Lkn we mwamba huu mwandiko mbona kama wewe ni Mwanakijiji kabisaa πŸ€”πŸ€”πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Huduma za vyoo huzingatiwa. Ndio maana kuna Public toilet na self contained bed room.

Lkn we mwamba huu mwandiko mbona kama wewe ni Mwanakijiji kabisaa πŸ€”πŸ€”πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ni kweli, ila zingatia ushauri niliotoa
 
(1) Choo ndani ya chumba lazima kiwe na kuta zake
(2) Choo kinakuwa na mlango wake ambao utatumia kuingia chooni baada ya kuingia chumbani

Kwamba kutokea chooni uweze kwenda nje au kwenye corridor bila kupita chumbani basi hicho kitakuwa choo cha public ,na wewe ukitaka kukitumia eti utoke nje ya chumba ,huo ni usumbufu na mtu yoyote mwenye hela hawezi kukubali.

Choo ndani ya chumba hakijawahi kuwa na shida ,shida ni usafi wako.
 
Unazungumzia choo cha shimo au cha ku-flush?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…