Mfalme kuwa na mamlaka ya kuongoza serikali
Mamlaka ya kuendesha serikali yako mikononi mwa Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri. Mfalme hawezi kuamua sera za nchi wala kutoa maagizo kwa serikali.
Mfalme kuwa na sauti katika Bunge
Mfalme hawezi kuingia kwenye mijadala ya Bunge wala kupiga kura. Ingawa anafungua rasmi Bunge kila mwaka (State Opening of Parliament), hotuba anayosoma huandaliwa na serikali.
Mfalme kuweza kukataa sheria
Kikatiba, mfalme hutoa tu idhini ya kifalme ili sheria zilizotungwa zipitishwe. ni taratibu ya kifalme tu, hakuna mfalme aliyewahi kukataa kutoa idhini hiyo tangu mwaka 1708 hata kama hakupendezwa na sheria
Mfalme kuweza kuanzisha vita
Ingawa Mfalme ni Kamanda Mkuu wa majeshi ya Uingereza, jukumu hili ni la ishara tu, wenye mamlaka ni Waziri mkuu na serikali. nafasi ya Mfalme katika kutangaza vita ni ya mwisho na ya ishara, sawa na anavyotoa idhini ya kifalme kwenye sheria baada ya Bunge kuzipitisha.
Mfalme umfuta kazi Waziri Mkuu
mfalme kabanwa sana na mfumo mpya wa kidemokrasia hawezi kufanya hivyo, mfalme hutimiza takwa la kumtambua kiongozi wa chama chenye viti vingi Bungeni kuwa waziri mkuu hata kama hampendi na Hawezi kumfuta kazi.
Mfalme kuwa kiongozi wa nchi kwa kila kitu
Ingawa mfalme ni "head of state" wa Uingereza, kazi hii ni cheo cha heshima tu. "Head of government" ni Waziri Mkuu. Mfalme hachukui maamuzi ya kisiasa wala ya kishe