Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

Endelea kukaza Kichwa ,Nimekuonyesha na article unabisha
 
Sisi wenye vibamia hatujuagii hii makitu.
 
Swali mbona mwanaume ameathirika akimkojolea mwanamke mimba ikitungwa yule mtoto anakua HIV Negative na wakiwa makini kwenye kujifungua mtoto anazaliwa HIV negative hio imekaaje?
 
Tatizo kwenye historia fupi ya marehemu. Kigugumizi chake ndio utajua kuwa UKIMWI kwanini unaheshimika. Kona kona kibao
Baba mdogo upande wa ndugu yake na babu tulisomewa kwamba aliumwa na buibui mwenye sumu. Sitakaa nisahau
 
semeni bas ukweli upo au haupo maana hapa nishapiga hanson choice 3 nikiwa na mrembo wangu wa wiki,ila nina ndom 3 kwen wallet
 
Hivi huyu jamaa yuko wapi?
 
Hivi ukitoka kupiga ukanawa chap na maji baridi yenye sabuni inasaidia eeh
 
kwaiyo kumbe ni kweli

Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI​

na hawa ni pamoja na mleta mada mwenyewe
 
Nyie acheni ujinga bwana. Gonjwa ambalo mtu anaweza akadunda miaka 20 plus mnalipigia kelele kibao baadala ya magonjwa kama kisukari ambayo ukikosea kidogo tuu unayeya.
 
Swali mbona mwanaume ameathirika akimkojolea mwanamke mimba ikitungwa yule mtoto anakua HIV Negative na wakiwa makini kwenye kujifungua mtoto anazaliwa HIV negative hio imekaaje?
semeni bas ukweli upo au haupo maana hapa nishapiga hanson choice 3 nikiwa na mrembo wangu wa wiki,ila nina ndom 3 kwen wallet
Umesshampiga hennessy pori sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…