Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

hakuna wodi ya VVU ulaya
 
Tatizo wahamasishaji na wenyewe wameshaathirika so wanaona bora kila mtu aupate


Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
sijui yuko wapi mwamba deception.
 
Unatutisha sasa mkuu.
 
Kumbe sawa ngoja nikaendelee kumbanjua maana binti wa watu ananielewa kinyama
 
Ukimwi ni Scam.

Kila siku ni africa tu ndio tunateseka na huo ukimwi,, huwezi sikia Russia analalamika eti maambukizi ya ukimwi, ni Africa tu
 
Sema ni asilimia ngapi probability ya Vaginal fouids ad semen inayoweza kubeba virus

Yaani katika watu 10, ni wangapi wanaweza kuambukizwa kupitia only fluids i.e SEMEN and VAGINAL FLUID

sio unaleta maelezo tu
Mkuu Basi Nimekuja kuona wengi hawaelewi Kuhusu Matumizi Ya condoms Pia ,jaman Condoms Zinaprevent Vaginal Fluids Kutokuingia kwa mwanaume sababu Zinabeba ukimwi
Soma hapa

No, it's not true. HIV is a virus that is carried in blood, semen, and vaginal fluids. None of these substances can pass through an intact latex condom, a polyurethane male condom.

Ndo Maana watu wanatumia condom .
 
Sema ni asilimia ngapi probability ya Vaginal fouids ad semen inayoweza kubeba virus

Yaani katika watu 10, ni wangapi wanaweza kuambukizwa kupitia only fluids i.e SEMEN and VAGINAL FLUID

sio unaleta maelezo tu
Sio Percent Ngap ,ukishakuwa na ukimwi Lazima Zinakaaa huko No objection
 
Kwa hyo Unataka kumaanisha mtu akiwa na ukimwi hawez kumuambukiza mwenzake?
 
MichuBuko hatujakataa ,hila Ukifanya mapenz na mtu hatakama hujamchubua As long Anaukimwi Unapata Mkuu
 
Hapana ,sio Kwamba vinaenda Ukeni Baada ya Mtu kuchubuka No,Ukishakuwa nao Virusi Vinasambaaa mwilini Mpaka Kwenye Hui ute ute ,ukitaka kusuppot Point Yako Maana yake Unataka kusema Hata kwa mwanaume Anachubuka then ndo zinaenda kwenye Shahawa(sperm)?
 
Mimi sio Daktari Mtarajiwa ,mfamasia .
 
Gliomas?
 
Nauliza wakuu ? Hivi ni kweli kuna dawa ya ukimwi ambayo ina 99.9% ya uponyaji/ kumpa mgonjwa nafuu huko... nchi za mbele, nchi za ulaya..
Mpaka sasa Hapana ,kampuni ya moderna Ipo Inafanya majaribio ya chanjo Ya ukimwi na inasemekana bado Step Chache Tu Ipitishwe
 
Sio Percent Ngap ,ukishakuwa na ukimwi Lazima Zinakaaa huko No objection
Usikaze kichwa, kubali critics, nenda ukachimbe upya

By the way kama hujui, njia pekee ya kuambukizwa UKIMWI ni kupitia damu, tena either ile michubuko mikubwa wakati wa sex ama kupitia BT pekee, mengine yote sijui Saloon, kuji prick, sijui contact ya body fluids na ujinga mwingine ni ngumu sana kuambukizwa HIV

So hicho unachokisomea haujakijua vizuri bado, KASOME ZAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…